Recent content by alphonce.NET

  1. alphonce.NET

    Tunauza vifaranga wa kuku chotara

    Tunauza vifaranga wa kuku chotara aina ya sasso na kloila. Wanakua haraka, wavumilivu dhidi ya magojwa, wanafaa kwa nyama na mayai Wanapatikana kila Jumatatu, bei Sh 1,800 Umri siku 2 Tupo Lugela - Kahama. Tunasafirisha kwenda maeneo yote kanda ya ziwa Simu: 0767659145, 0787659145
  2. alphonce.NET

    Nauza vifaranga vya kuku chotara

    Dar siwezi kukufikia, sina branch
  3. alphonce.NET

    Nauza vifaranga vya kuku chotara

    FAHARI KUKU FARM KAHAMA Tunauza vifaranga wa uku chotara aina ya sasso na kloila. Wanakua haraka, wavumilivu dhidi ya magojwa, wanafaa kwa nyama na mayai Wanapatikana kila Jumatatu, bei Sh 1,800 Umri siku 2 Tupo Kahama. Tunasafirisha kwenda maeneo yote kanda ya ziwa Simu: 0767659145, 0787659145
  4. alphonce.NET

    Tunauza vifaranga wa kuku chotara

    Ndio, tunatuma kwenye gari za Kahama Geita
  5. alphonce.NET

    Tunauza vifaranga wa kuku chotara

    FAHARI KUKU FARM KAHAMA Tunauza vifaranga wa kuku chotara aina ya sasso na kloila. Wanakua haraka, wavumilivu dhidi ya magojwa, wanafaa kwa nyama na mayai Wanapatikana kila Jumatatu, bei Sh 1,800 Umri siku 2 Tupo - Kahama. Tunasafirisha kwenda maeneo yote kanda ya ziwa Simu: 0767659145...
  6. alphonce.NET

    Msaada wa U.T.I sugu

    Kuna dawa ya kienyeji/asili inatobu UTI sugu wanauza watu wanitwa EDEN hapa kahama. Nimewahi kuitumia wakati nilisumbuliwa na tatizo hilo kwa zaidi ya wiki 4, nilitumia ceftrioxone, ciprofloxacin na amoxiclav zote zilishindwa Ukihitaji nitachukua namba yao nikupe, bei ya dawa yao ni sh 15,000 tu
  7. alphonce.NET

    Nimeingia cha kike kwa Mkenya aitwaye Mike Luswety website designer Mediapix

    Short and correct answer: Hakuna namna unaweza fanya transfer mpaka tu huyo aliye na domain control akupe transfer code
  8. alphonce.NET

    Hili wimbi la watu kunyanganywa nyumba zao kwa mikopo ya Bank, serikali iingilie kati

    Hawaelewi kuwa wasipolipa mkopo nyumba itauzwa au hawaelewi Nini?
  9. alphonce.NET

    "Manusura" wa ndege ya India hakuwa abiria kwenye hiyo ndege

    Mleta uzi anatafuta Instagram page traffic
  10. alphonce.NET

    Hayati Magufuli alijenga kanisa nyumbani kwake, Askofu Niwemwigizi akagoma kulipokea

    Yote ulioandika yatabaki kuwa kumbukumbu sahihi na nzuri ikiwa utaondoa maneno haya. "hivyo ame kufa akiwa mtakatifu,na alipokelewa mbinguni,saa hizi yuko peponi !" Huwezi kuthibitisha jambo hilo, inabaki maamuzi ya Mungu mwenyewe
  11. alphonce.NET

    Kupatiwa mawazo juu ya afya yangu

    Pima vidonda vya tumbo, hizo ulizotaja zote ndio dalili zake
  12. alphonce.NET

    Unajua pesa ya Tanzania inatengenezwa wapi?

    Halafu baada ya kila mtu kugawiwa zake siku inayofuata chapati ya sh 500 itakua 7,500
  13. alphonce.NET

    Baada ya ndoa ya Toni Braxton na Birdman kudumu kwa mwezi mmoja, Toni aomba talaka

    Ni Sheria za marekani usichanganye mambo, wao wanaita malipo ya fidia si kugawana mali walizotafuta kwenye ndoa
  14. alphonce.NET

    Tumuombe Mungu (Allah) awashushie kipigo watu hawa ili wamuelewe yeye ni nani na wafuate njia ya sawa duniani

    Dua Dua za aina hiyo zimeshafanyika nyingi na hakuna kilichotokea, huwezi kumpangia Mungu Nini cha kufanya, yeye anaona yote yanayondelea. Ndivyo ambavyo ametaka iwe
Back
Top Bottom