Recent content by Alphonce Kagezi

  1. Alphonce Kagezi

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Samia aliwafutia Elimu, Afya na Maji, Mchengerwa (mkwe wake) kafuta kijiji kizima, amevunja Sheria

    Utatuzi wa jambo LA Masai linahitaji utulivu wa moyo na hekima ya Mungu ikitumika . Kifo cha mtu mmoja alienyimwa namna ya kupata chakula kwa Mungu ni kilio kikuu cha Makaika Watakatifu.
  2. Alphonce Kagezi

    JamiiForums Tanzania Netanyahu, mfano wa mfalme Daudi, ametoka kabila la Yusufu

    Amen Taifa la Israel Mungu alilichagua na ana malengo makubwa na taiga hilo, Shambulizi lolote dhidi ya Taiga LA Israel in shambulio dhidi ya Mamlaka ya Mungu! Kamwe Mungu hatakaa kimya .
  3. Alphonce Kagezi

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa wa mande ya Ubakaji na ulawiti waliotumwa na afande wakamatwa

    Hicho ndicho nilichoamini. Vyombo vyetu vya dola ,ukiacha watumishi wake wachache wasio na with,Ila vinafanya kazi nzuri mno.Ukitaka kupima kazi yao ripoti tukio gumu LA uvunjaji wa sheria .Ndipo utalijua Linafanya kazi vipi:Uwelidi mkubwa ongerren
  4. Alphonce Kagezi

    JamiiForums Tanzania Nikiona ajali hii, mengi najifunza

    Mungu ndie hakimu wa maisha yetu.Hutuvuna wakati anaotaka. Jina lake lihimidiwe. Poleni Ndg,Jamaa,Waliopoteza mpendwa wao. Mungu awe mfariji wenu. Amin.
  5. Alphonce Kagezi

    JamiiForums Tanzania Mtanzania hatarini kuuwawa huko Uingereza

    Sheria za Uingereza na vyombo vya dola vilishughulikie ipasavyo. Ni ukiukaji wa haki za binadamu kuingilia Uhuru wake wa kuishi kwa kumpa vitisho ashiria kuhatarisha maisha ya mtu sio swala dogo .Mungu amlinde Hugo Mtanzania mwenzetu.
  6. Alphonce Kagezi

    JamiiForums Tanzania Hakuna haja ya Katiba Mpya kwa sababu katiba iliyopo inajitosheleza

    Kulingana na mazingira in mhimu kuwepo katiba mpya ili kuondoa kasoro nyingi za kiutawala na mamlaka ambazo katiba tulionayo haina ufumbuzi na hizo hutumiwa isivyostahili na wenye mamlaka kama kivuli cha kutokukataa revolution change kulingana wakati uliopo.
  7. Alphonce Kagezi

    JamiiForums Tanzania Hakuna haja ya Katiba Mpya kwa sababu katiba iliyopo inajitosheleza

    Katiba iliyoko
  8. Alphonce Kagezi

    JamiiForums Tanzania Movement: Tunataka Katiba Mpya Tanzania

    Wananchi sauti yao maamuzi ndio huunda Selikali na kuipa Nazi za kufanya!Selikali yoyote iwayo duniani ikipuuza sauti za wananchi walioiweka madrakani hiyo huitwa Selikali ya kidikiteta na kandamizi. Tanzania in nchi inayo heshimu matakwa ya Wananchi bila kuvunja katiba ya nchi. Uhuru wa mawazo...
  9. Alphonce Kagezi

    JamiiForums Tanzania Msaada: Njia za kupunguza uume

  10. Alphonce Kagezi

    JamiiForums Tanzania Tunamkumbuka Edward Sokoine - Mtu wa Watu

    Hayati Eduard Sokoine: ataendelea kuishi ktk moyo ya wazalendo.
  11. Alphonce Kagezi

    JamiiForums Tanzania Tuheshimu Ikulu, Tuwaheshimu viongozi wote Wateule, ni Watanzania wenzetu, Tuwaheshima kama ambavyo Baba na Mama yako anastahili heshima

    Viongozi wanastahili heshima yao ya kiuuongozi.Ila heshima imstahiliyo mzazi namba moja.Mungu no1 Wazazi 2 Viongozi Wa kiroho 3 Viongozi wa madrakani no 4
  12. Alphonce Kagezi

    JamiiForums Tanzania Kila Mtanzania anuie kuilinda kuitunza miundombinu

    Ujenzi wa Kagezi Bridge unaoendelea huko Ilemela Bugogwa Mwanza. Ni kiunganishi kikubwa katika safari na usafiri ndani ya manispaa yetu ya Ilemela. Lakini ni usalama wa Watu na Mali zao hasa nyakati za usiku. RAI YANGU: Ilikuwa kiu na ndoto isiodhaniwa kama itatimilika sasa usiloamini limetimia...
  13. Alphonce Kagezi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Silaha ya kujilinda na maambuzi ya VVU unayo mwenyewe! Ukiitumia vibaya inakula kwako.Usifanye ngono isio salama na MTU usiefahamu status itakugharimu.Acheni ujua wa tamaa ya ngono.
  14. Alphonce Kagezi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

    Ngono za jinsia moja in mpango wa ibilisi kuiangudha dunia yetu hii tangu zama za kale.Linda wanao mkinge na,athari za utandawazi kwa ajili yakesho yake na kizazi chake.Mungu Awabarik.
  15. Alphonce Kagezi

    JamiiForums Tanzania Historia ya ujenzi wa daraja liitwalo kagezi bridge liloko ilemela mkoani Mwanza kata Bugogwa mtaa Igombe "B"

    2004 Kata Bugogwa ndio mwaka Ndg Kagezi alihamia akiishi mtaa wa Igombe "B" kabla haujakatwa mitaa miwili. 2008 ndio Ndg Kagezi alifanikiwa kununua Kiwanja jirani na njia ya maji katika kipindi cha mvua eneo hili huwa ni hatari watoto kuvuka wakienda shuleni katika kipindi cha mvua. HARAKATI...
Back
Top Bottom