Kila Mtanzania anuie kuilinda kuitunza miundombinu

Alphonce Kagezi

JF-Expert Member
Sep 29, 2015
327
157
Ujenzi wa Kagezi Bridge unaoendelea huko Ilemela Bugogwa Mwanza. Ni kiunganishi kikubwa katika safari na usafiri ndani ya manispaa yetu ya Ilemela. Lakini ni usalama wa Watu na Mali zao hasa nyakati za usiku.

RAI YANGU: Ilikuwa kiu na ndoto isiodhaniwa kama itatimilika sasa usiloamini limetimia wiki 2 zijazo Kagezi bridge mkandarasi anaweza kukabidhi kazi ya ujenzi wa Kagezi bridge ambayo kwa sasa inakadrika ujenzi umefikia 85%.

Ndugu Wana Igombe "B" Ndg Wana Bugogwa na mitaa mingine ndani na nje ya Bugogwa na Ilemela kwa ujumla. Selikali inatumia budget kubwa kuimarisha miundo mbinu za barabara, madaraja, majengo ya taasisi za umma nk.

Kila mtanzania anuie kuilinda kuitunza miundombinu hiyo ili itutunze pia. Ng'ombe na Punda na kila mnyama wa kufungwa mwenye kwato na kwato simama. Wenye nazo walinde miundo mbinu za barabara na madaraja kwa kuepuka kupitisha wanyama wao.

Serikali ipige marufuku ama itangaze adhabu kubwa dhidi ya wafugao wanyama hao pindi wapitishapo wanyama wao ktk mazingira dhaniwa kuiharibu miundo mbinu ya barabara na madaraja. Itasaidia kutunza barabara zetu na madraja yetu makubwa kwa madogo. Viva Viongozi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. A route Continue. Viva Wa Tanzania Ungeni mkono juhudi na nia njema ya Selikali kutuboresheamiundo mbinu kwa Kasi ya maendeleo.

IMG_20220925_183041.jpg
 
Daraja fupi hivo! Jiunge mkono mwenyewe na mnaotumia daraja hilo, ni kodi zenu.
 
Back
Top Bottom