Recent content by AlphaMale_

  1. AlphaMale_

    JamiiForums Tanzania Wazungu wana chuki mno na Lamine Yamal. Ni kutokana na rangi yake tu

    Husemi point kuu ya kuzua taharuki jana dogo kwenye mkutano na media aliongelea Madrid vibaya kitu hata messi huwa hapendi, hicho ndio chanzo. Kwaio usianze mambo ya rangi kunawachezaji wengi weusi mpaka kesho wanaimbwa viwanjani na walisha staafu Didier Drogba moja yao. Mchezaj kama ana...
  2. AlphaMale_

    JamiiForums Tanzania GE2025 Lolote litakalonikuta Oktoba 29, 2025 waambieni watoto wangu nilipambana kuitafuta haki na uhuru

    Keyboard warriors 😂😂😂 ,ngoja tuone jeshi la Tanzania sio la kizungu wala Nepal
  3. AlphaMale_

    JamiiForums Tanzania Unahitaji Mechanical Technician (Fundi Mitambo) mkoa wa Dar es salaam

    Sasa fundi mitambo ipi? Yo must be crazy for such an Ad
  4. AlphaMale_

    JamiiForums Tanzania Hivi unajua million 1.97 ya Tanzania ni sawa na laki 1 ya Kenya

    Mbona kwacha hamsemi?
  5. AlphaMale_

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tukiwaambia achaneni na Kuwaoa hamtuelewi, sasa acheni Wake zenu Wawakomesheni ili muuwane vizuri

    Anaongea na wateja ,sema jama Ana lazimisha mapenzi apo
  6. AlphaMale_

    JamiiForums Tanzania Je, kuna biashara inaweza kuza milioni 1.5 kwa miezi miwili kufika 4 milioni? Nishauri

    Gold ipi? Online au chaka tu chaka
  7. AlphaMale_

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tunza wazazi wako

    Kabsa
  8. AlphaMale_

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tunza wazazi wako

  9. AlphaMale_

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tunza wazazi wako

    Nadhani kwa kuwasaidia vijana ambao bado hawaja toka au hawana msingi bora ungesema tunza mzazi pale unapo weza, kuna vijana hawafanikiwi au hawasogei mbele kwasababu ya kubeba mizigo mikubwa. Kwaio weka sawa hapo Usitumie hisia hayo hayapo karne hii.
  10. AlphaMale_

    JamiiForums Tanzania GE2025 Suala la kuzima mitandao linatuathiri sana sisi wafanyabiashara

    Sasa atumie vpn mteja je? Hajaongelea upande wake tu wateja wengi hawajui vpn
  11. AlphaMale_

    JamiiForums Tanzania Tetesi: SirJeff Khagolla (Alias Ontario) amedakwa Mafinga kwa kosa la Uhujumu Uchumi

    12 120000 kakuza😂😂😂😂
  12. AlphaMale_

    JamiiForums Tanzania Usikurupuke kula ovyo kwenye vi fast food vya sinza utalia kama sio kuacha simu yako

    Kwan mpaka uulize ukiangalia mandhari tu unajiongeza ,watu hawapigwi mbona sehemu cheap zipo mkuu.
  13. AlphaMale_

    JamiiForums Tanzania Niulize swali lolote kuhusu uchumi au biashara

    My point ilikua withholding tax ni for bussness owners, waajiriwa au ni kila mtanzania anastahili kulipa huwa sielewi awa tra
  14. AlphaMale_

    JamiiForums Tanzania Niulize swali lolote kuhusu uchumi au biashara

    Hivi kuna kodi ngap kwenye biashara ya tz mfano kariakoo
Back
Top Bottom