Recent content by Alpha M

 1. Alpha M

  ARUSHA: Meya, wamiliki wa shule, paroko na Waandishi, wakamatwa na Polisi Shuleni, wanyimwa dhamana

  Mkutano wa siasa ni ule wenye agenda ya KISIASA tu, raisi wabunge na viongozi wowote(+waandishi wa habari) wakienda kwenye hafla au msiba wowote haifanyi shughuli hiyo kuwa Mkutano wa kisiasa.
 2. Alpha M

  ARUSHA: Meya, wamiliki wa shule, paroko na Waandishi, wakamatwa na Polisi Shuleni, wanyimwa dhamana

  Hapana, nauli wabaki nayo tu ni bora tutembee kwa miguu-
 3. Alpha M

  Uchumi Tanzania utaendelea kupolomoka 2017/18

  Hoja zako zina mashiko pia. 1. Marekani uchumi wao upo vizuri sana, kwenye suala la private sector Serikali yao inatumia budget ya ulinzi kwenye makampuni ya silaha. Watumishi wengi katika makampuni haya wanalipwa vizuri sana, achilia mbali "Research and Development funds" ambazo serikali ya...
 4. Alpha M

  Uchumi Tanzania utaendelea kupolomoka 2017/18

  Hivyo unaamini kwamba kutoa mikopo zaidi kwa muda huu kutasaidia kuondoa matatizo yalioyopo? ***Maana kwa upande wangu naona pesa hakuna mifukoni mwa watu wengi kiasi cha kufanya biashara kushamiri. Pili, mabenki mengi ya biashara wanadai fedha hawana kwa kiwango kingi kama hapo zamani, jambo...
 5. Alpha M

  Uchumi Tanzania utaendelea kupolomoka 2017/18

  Naomba usome vizuri kwenye hii picha, mwanzo BOT iliagiza kupunguza mikopo halafu baadae inawapa incentive za kuongeza mikopo.
 6. Alpha M

  Uchumi Tanzania utaendelea kupolomoka 2017/18

  Kama una fahamiana na watumishi wa Benki zetu hizi za biashara labda uanze kuwauliza vizuri. Binafsi ninafahamiana na mameneja kadhaa wa benki tofauti. Ukiwauliza "financial standing point" yao muda huu watakuambia sio imara kama ilivyokua miaka miwili au mitatu nyuma. Commercial banks ni...
 7. Alpha M

  Uchumi Tanzania utaendelea kuporomoka 2017/18

  Itategemea zaidi wataenda kuwekeza wapi hayo mapato. Kama sekta watakayoilenga itakua na long term low rate return (mfano ATC na SGR) kwakweli tuanze kukaza mikanda zaidi. Hili sio suala la siasa, ni wale wasomi wa BOT na Wizara ya Fedha ndio wahusika.
 8. Alpha M

  Uchumi Tanzania utaendelea kupolomoka 2017/18

  Nakubaliana na wewe, awamu ya nne ilitengeneza watu wa tabaka la juu wengi. Hawa wakikiamua kuficha fedha zao ndani au kupeleka nje tutaumia zaidi. Inawezekana wao ndio sababu ya kukosekana kwa fedha kwa upande fulani, maana biashara haziwaendei vizuri.
 9. Alpha M

  Uchumi Tanzania utaendelea kupolomoka 2017/18

  Lipumba ni mwanauchumi zaidi ya mwanasiasa.
 10. Alpha M

  Uchumi Tanzania utaendelea kupolomoka 2017/18

  Habari za jioni mtanzania mwenzangu, poleni kwa majikumu. Kwa kuanza kabisa, inabidi tukumbushane kwamba benki za biashara ni vilainishi katika ukuaji wa uchumi duniani kote. Mfumo mbovu wa benki hizo unaweza sababisha "economic depression",mfano mzuri ni ule wa Marekani mwisho wa mwaka 2007...
 11. Alpha M

  Uchumi Tanzania utaendelea kuporomoka 2017/18

  Habari za jioni mtanzania mwenzangu, poleni kwa majikumu. Kwa kuanza kabisa, inabidi tukumbushane kwamba benki za biashara ni vilainishi katika ukuaji wa uchumi duniani kote. Mfumo mbovu wa benki hizo unaweza sababisha "economic depression", mfano mzuri ni ule wa Marekani mwisho wa mwaka 2007...
 12. Alpha M

  'RSF inasema Uhuru wa vyombo vya habari nchini Tanzania umeminywa chini ya utawala wa Raisi Magufuli

  Tuache ujinga watanzania, nini maana ya Uhuru(freedom)????? Hakuna nadharia ya Uhuru bila mipaka!!! Ulishawahi sikia tangu uzaliwe eti kuna nchi yenye Uhuru uliopita mipaka?? Kama mtu anatoa habari za kichochezi huo sio uhuru bali uchochezi. Mtu kuandika habari za uongo si uhuru bali ni...
 13. Alpha M

  Kwa vijana waishio Mwanza...

  Ndio, kulikoni?
 14. Alpha M

  Tusimlaumu Rais Magufuli Kwa Kila Kosa, Rais Yeye Hana Kosa Bali Anashauriwa Vibaya!.

  Hakusema hashauriwi bali "hapangiwi".... Anashindwa kuelewa kitu kidogo tu, ukiwa kiongozi unapangiwa ila uchaguzi ni wako. Wasaidizi wa raisi hupeleka taarifa pamoja na recommendations. Sasa mkuu anaona recommendations kama vile anapangiwa fulani hivi. Anakosa mwanya wa kupanga yeye katika...
 15. Alpha M

  Hivi wanaume hampendi mwanamke mwenye mapenzi ya dhati?

  Hebu jaribu kuangalia hali maisha yake binafsi kama biashara,kazi,hali ya kiuchumi,familia yao,masuala ya dini n.k Mwanaume huanza kumchoka mwanamke baada ya muda kwasababu ya "distractions", nguvu na hisia zake amezielekeza kwenye mambo mengine muhimu especially hali ya sasa. Au kuna...
Top Bottom