Recent content by Alpha Blondy

 1. Alpha Blondy

  Malipo ya wema wangu

  Pia alikua akuchukua ushauri kwa wazazi
 2. Alpha Blondy

  Entebbe express way

  kampala paka Entebbe amna umbalio huo ndugu, lisaa limoja na nusu paka mawili unafika, ni wilaya mbili zilizo karibu
 3. Alpha Blondy

  Ni kero ipi ya kupanga chumba ambayo ushakutana nayo na huipendi?

  nikifungiwa icho kidude nikalipia hata wengine wasipolipia bado nitakua na umeme kwenye chumba changu?
 4. Alpha Blondy

  Yapi madhara ya kutumia sana ndimu/limao?

  kuna acid Sent using Jamii Forums mobile app
 5. Alpha Blondy

  Tamaa ni mbaya. Angalia kilichomkuta huyu

  wanaume hata tukiwa na wanawake wengine hatuachi wale wa Mwanzo kwaiyo ishu ni kwamba mambo yakiharibika unaegemea sehemu sahihii Sent using Jamii Forums mobile app
 6. Alpha Blondy

  Hali ya Kisiasa: Ridhiwan Kikwete anapumulia mashine Jimboni

  kwan wamasai hawawezi kuwa dubai hahahah Sent using Jamii Forums mobile app
 7. Alpha Blondy

  Biashara ya Madini ya Dhahabu: Fahamu Uwekezaji Wake, Changamoto na Faida

  Musiende pm mkuu, mwaga madini hapa hapa, tupo wengi tunaojifunza hayo Mambo Sent using Jamii Forums mobile app
 8. Alpha Blondy

  Biashara ya Madini ya Dhahabu: Fahamu Uwekezaji Wake, Changamoto na Faida

  Msiende PM mkuu, mwaga madini hapa hapa, tupo wengi tunaojifunza hayo Mambo Sent using Jamii Forums mobile app
 9. Alpha Blondy

  Wengi wanamkubali Bob Marley ila Mfalme wa Reggae duniani ni Lucky Dube

  Kasikilize Jerusalem Cocode rock Masada Acha kusema Alpha blondy ni kituko wewe Sent using Jamii Forums mobile app
 10. Alpha Blondy

  Wengi wanamkubali Bob Marley ila Mfalme wa Reggae duniani ni Lucky Dube

  Aisee haya mkuu Bujibuji kama unaweza kumdharau Lucky kwa kiasi hicho sina cha kukwambia Sent using Jamii Forums mobile app
 11. Alpha Blondy

  Wengi wanamkubali Bob Marley ila Mfalme wa Reggae duniani ni Lucky Dube

  cha ajabu senzo yupo hai paka leo, aliugua tuu Sent using Jamii Forums mobile app
 12. Alpha Blondy

  Wengi wanamkubali Bob Marley ila Mfalme wa Reggae duniani ni Lucky Dube

  hapo umezingua hata kama Bob ni mkubwa, lucky si mdogo kiasi icho cha kufananishwa na kalikawe[emoji22] Sent using Jamii Forums mobile app
 13. Alpha Blondy

  Wengi wanamkubali Bob Marley ila Mfalme wa Reggae duniani ni Lucky Dube

  Haitoshi lazima aelekezwe ukweli, uwezi kumfananisha Dube na Marley kila mtu aliwika kwa zama zake na kila mtu ana vibes zake Bob ni mkubwa na Lucky ni mkubwa pia wote walifanya kazi nzuri kwenye ulimwengu wa reggae, Lucky aliinogesha reggae na vionjo vya Africa, nampenda zaidi Dube ila ukweli...
Top Bottom