Siasa waachie wanasiasa, wakiuana, wakijeruhiana, n.k
waachie wao, labda nikushauri kitu, kuliko kukaa ukiisikia au kuijadili au kukijadili chama chochote bora uamue kuwabize na biashara, au kilimo, kwa mfano;
Kna khali iliyofunika taifa kwa sasa, kila mtu anadai hali ni ngum lakn sio kweli watu...