Recent content by aloyce ibra

  1. A

    JamiiForums Tanzania TLS vipi hili la aliyeunguzwa na Mumewe mbona kimya au sio mnyonge huyu?

    Kuwa muda sasa kuna mama aliunguzwa na mumewe, shukrani kwa Rais Magufuli kwa msaada aliyempatia hadi ametoka, Ila TLS chama ambacho mnajinadi kwamba mnatetea wanyonge mmekaa kimya leo Rais anapigizana kelele na polisi kutafuta cheap popularity while kuna issues za kufanyia kazi....
  2. A

    JamiiForums Tanzania *TATIZO LA MFUMO AU MFUMO TATA?*

    *TATIZO LA MFUMO AU MFUMO TATA?* WATU flani wakati tunaelekea kwenye uchaguzi wa 2015 na hata baada ya uchaguzi walikuwa wanasema Magufuli yuko vizuri lakini tatizo lililopo ni MFUMO. Wakasema JPM ndie kiongozi sahihi wa Tanzania kwa wakati huu lakini tatizo anatoka CCM. Wengine wakasema ana...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amfagilia Nape akiwa ziarani Lindi

    Akiwa eneo la Nangurukuru mkoani Lindia mwanzoni tu mwa ziara yake ya siku 4 katika mikoa ya Lindi na Mtwara, Rais Magufuli hakusita kuonesha kuridhishwa kwake na utendaji kazi wa Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye. #Magufuli: Tunataka wabunge hasa wanaCCM safi na...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Serikali kwa udhaifu wenu huu kila siku Tundu Lissu atawatoeni knock out Mahakamani

    Wakati watu wako busy kuleta maendeleo nyie mko busy kushinda mahakamani na kuhesabu kesi za lissu, kweli kuongozwa na watu wa namna hii kazi yao kishinda mahakamani ni tabu ndio maana wataalam wa mambo wanasema itawachukua tena miaka kwa upinzani kufikiriwa kuchukua dola...NOTE sio kuchukua...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Hizi hapa post za 2014 za wanaJamiiForums kuhusu Dawa za Kulevya

    Tutayapima matokeo mwisho wa siku....
  6. A

    JamiiForums Tanzania Hizi hapa post za 2014 za wanaJamiiForums kuhusu Dawa za Kulevya

    Tukicount wapinzani wangapi wametuhumiwa...na CCM wanagapi wametuhumiwa....kama hata hesabu ndogo hujui huku unafanya nini......eti home of great thinkers....kwa mawazo haya jitoe humu..
  7. A

    JamiiForums Tanzania Hizi hapa post za 2014 za wanaJamiiForums kuhusu Dawa za Kulevya

    Kwahy mtandao wa kenya ukiwataja basi huku tukamate...how sure huo mtandao upo reliable...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Hizi hapa post za 2014 za wanaJamiiForums kuhusu Dawa za Kulevya

    Tatizo wabongo akili sijui mmeweka wapi....mliambiwa bado vita inaendelea na mmeambiwa hii ni sehemu ya pili simsubiri ngoma ikamilike ndipo tuanze kuhoji....wapo wengi na still chain ni ndefu na kwa jitihada hizi i believe kila mtu atafikiwa....TUTULIE SINDANO IINGIE..
  9. A

    JamiiForums Tanzania Hizi hapa post za 2014 za wanaJamiiForums kuhusu Dawa za Kulevya

    Hapa ndipo utagundua wana jf ni watu wa aina gani...nawashangaa sasa mnapiga kelele juu ya hii vita ya madawa ya kulevya. Bofyalink hii: Hii ya Juma Pinto Inatisha
  10. A

    JamiiForums Tanzania Bunge linalinda maslahi ya nani kwenye sakata hili la dawa za kulevya?

    Sijawahi kuona Bunge lenye wabunge wa ajabu Kama hili letu Tanzania, kwanamna hii tusitegemee maendeleo. Mwaka 2014 wabunge hawahawa waliwaita majaji wa Tanzania vilaza wakati wakijua ni muhimiri mwingine lkn majaji hawakuwaita kuwahoji mahakamani Wabunge hawahawa ndo juzi wakamtuhumu Mh...
  11. A

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yatoa tamko baada ya Mbowe kutajwa katika listi ya Makonda

    Tujikumbushe tu.....hebu tuangalie hii list....alitajwa hadi rais kwenye tuhuma, ila wao walikuwa sawa....katajwa Mbowe imekuwa issue.... Jamani watu mlitaka mapapa hebu tutulie tuacheni kutokwa mapovu.. Mlitaka sindano inadawa sasa...hebu vumilieni maumivu
  12. A

    JamiiForums Tanzania Diwani wa CHADEMA mbaroni kwa kutafuna fedha za Walemavu

  13. A

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Kuwataja Vidagaa na kuwaacha Nyangumi/papa si ajabu ni moja kati ya mambo ya hovyo

    Unafki ndio unaiponza upinzani
  14. A

    JamiiForums Tanzania Lissu anauona udikteta wa Magufuli lakini wa Mbowe hauoni

  15. A

    JamiiForums Tanzania Serikali imeanza kupokea maoni kwa ajili ya uundwaji wa kanuni za sheria huduma za habari

    Mmmh Tanzania kazi ipo....vilaza wa mwenddokasi katika ubora wenu...mnakurupuka kuhoji while hamjui mnahoji nini...ndugu zenu wavaa kaki [emoji111]️[emoji111]️wataendelea kuwaburuza mpaka mshike adabu....
Back
Top Bottom