Hizi hapa post za 2014 za wanaJamiiForums kuhusu Dawa za Kulevya

Utawala wa Kikwete ulikuwa wa kimagumashi kweli. Kwa nini yule mtu asikamatwe na kuchukuliwa hatua jamani?
 
Katika hao waliandikwa humo kuna hata mmoja ametajwa?

Tatizo wabongo akili sijui mmeweka wapi....mliambiwa bado vita inaendelea na mmeambiwa hii ni sehemu ya pili simsubiri ngoma ikamilike ndipo tuanze kuhoji....wapo wengi na still chain ni ndefu na kwa jitihada hizi i believe kila mtu atafikiwa....TUTULIE SINDANO IINGIE..
 
Unaposema wabonge sijui akili tumeweka wapi kwann wewe umejitoa? Wewe si mbogo? Kumbuka this is the home of great thinkers mambo serious hatuyachukui kirahisi kama wewe na wenzio.

Kuna majina yamesemwa na yanasemwa sana lkn hao watu hawatajwi, mfano mtandao wa Kenya unawataja magwiji wa biashara ya mihadarati akiwemo rais Uhuru, kapuya, lizone, mwingilu, nchimbi na wengine, kama vita hii ni ya kweli na haibagui anapata kigugmizi gani kuwataja wahusika ilihali taarifa za uhusika wao zipo wazi zaid? Acha kuongea kimahaba .
 
Kama hii operation ni kweli ya kupambana na mihadarati angeshakamatwa, ila watu wa hivi hawakamatwi kwa kuwa serikali imeamua kuwatengenezea zengwe wapinzani, wauza unga wa ukweli hawakamatwi ila watu mashuhuri wanachafuliwa na kudhalilishwa
 
Unaposema wabonge sijui akili tumeweka wapi kwann wewe umejitoa? Wewe si mbogo? Kumbuka this is the home of great thinkers mambo serious hatujachukui kirahisi kama wewe na wenzio.

Kuna majini yamesemwa na yanasemwa sana lkn hao watu hawatajwi, mfano mtandao wa Kenya unawataja magwiji wa biashara ya mihadarati akiwemo rais Uhuru, kapuya, lizone, mwingilu, nchimbi na wengine, kama vita hii ni ya kweli na haibagui anapata kigugmizi gani kuwata wahusika ilihali taarifa za uhusika wao upo wazi zaid? Acha kuongea kimahaba .

Kwahy mtandao wa kenya ukiwataja basi huku tukamate...how sure huo mtandao upo reliable...
 
Kama hii operation ni kweli ya kupambana na mihadarati angeshakamatwa, ila watu wa hivi hawakamatwi kwa kuwa serikali imeamua kuwatengenezea zengwe wapinzani, wauza unga wa ukweli hawakamatwi ila watu mashuhuri wanachafuliwa na kudhalilishwa

Tukicount wapinzani wangapi wametuhumiwa...na CCM wanagapi wametuhumiwa....kama hata hesabu ndogo hujui huku unafanya nini......eti home of great thinkers....kwa mawazo haya jitoe humu..
 
Kwahy mtandao wa kenya ukiwataja basi huku tukamate...how sure huo mtandao upo reliable.....Acha uzwazwa...
Naona kuendelea kukujibu kutanifanya nionekane mjinga mwenzio, endelea na ujinga wako wa kuamini hata vinavyonekani ni maigizo lkn mwisho utakuja kuelewa...maana mjinga huelewa mwisho wa jambo
 
Naona kuendelea kukujibu kutanifanya nionekane mjinga mwenzio, endelea na ujinga wako wa kuamini hata vinavyonekani ni maigizo lkn mwisho utakuja kuelewa...maana mjinga huelewa mwisho wa jambo

Tutayapima matokeo mwisho wa siku....
 
Kama hii operation ni kweli ya kupambana na mihadarati angeshakamatwa, ila watu wa hivi hawakamatwi kwa kuwa serikali imeamua kuwatengenezea zengwe wapinzani, wauza unga wa ukweli hawakamatwi ila watu mashuhuri wanachafuliwa na kudhalilishwa
Mkuu usemayo ni kweli wala usipoteza muda kubishana na mjinga
 
Tukicount wapinzani wangapi wametuhumiwa...na CCM wanagapi wametuhumiwa....kama hata hesabu ndogo hujui huku unafanya nini......eti home of great thinkers....kwa mawazo haya jitoe humu..
we see the pattern, we know the evil intentions behind the whole operation, kama umeamua kujitoa akili kakojoe ulale, bure kabisa wewe
 
Kwahy mtandao wa kenya ukiwataja basi huku tukamate...how sure huo mtandao upo reliable....

Rizmoko ametajwa miaka kibao hakuna asiyelijua hilo.

Kwa hakuitwa hata kuhojiwa tu achilia mbali kukamatwa.

Hii vita ni nzuri na ilipaswa kuungwa na mkono na kila mtu lakin kilochofanyika ni upuuzi tu.

Hakukuwa na haja ya kumtaja mtu ovyo ovyo ila ilikuwa ni ufuatiliaji wa kimya kimya halafu ukimkamata ndio unamtangaza akiwa na vithibitisho.

Sasa hata kama ni kweli hao walio tajwa wakawa drug dealers vipi wakiharibu ushahidi wao na kujisafisha.
 
pinto.jpg
ndio huyu?
 
hakuna ànaepinga juhudi za makonda! ila haya ni mapambano yetu sote......
kwanini apigane makonda peke yake ilhali kuna mawaziri wenye dhamana wapo kimya!
anachofanya makonda ni kizuri ila in wrong aproach
 
Kwahy mtandao wa kenya ukiwataja basi huku tukamate...how sure huo mtandao upo reliable...
Samahani,masogange alikamatwa sababu gani kusini? Je hajui marafiki zake walioko hapa bongo? Kuna tetesi Ilivuma dogo mmoja alikamatwa china ikabidi baba aende kumaliza na baada ya hapo wachina wakapewa asante,vipi na yeye ameitwa?
 
Back
Top Bottom