Rais Magufuli amfagilia Nape akiwa ziarani Lindi

aloyce ibra

Member
Oct 26, 2016
60
25
Akiwa eneo la Nangurukuru mkoani Lindia mwanzoni tu mwa ziara yake ya siku 4 katika mikoa ya Lindi na Mtwara, Rais Magufuli hakusita kuonesha kuridhishwa kwake na utendaji kazi wa Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye.

[HASHTAG]#Magufuli[/HASHTAG]: Tunataka wabunge hasa wanaCCM safi na wenye kujituma kuwaletea watu wao maendeleo;

[HASHTAG]#Nawaona[/HASHTAG] wabunge wenu pale yupo kijana safi na mchapakazi Mhe Nape.Mheshimiwa Nape hebu sogea hapa karibu uwasalimia wananchi kidogo;

[HASHTAG]#Nape[/HASHTAG]: Mheshimiwa Rais tunakushukuru sana sisi huku Kusini tuko safi.

[HASHTAG]#Nape[/HASHTAG]: Mheshimiwa Rais tumeuza korosho na maisha yetu yako safi, yale maneno ya kunywesha bia mbuzi ni ya huko mjini, sisi huku watu wamenunua pikipiki na vitu vingine;

[HASHTAG]#Nape[/HASHTAG]: Mhe Rais tunaishukuru Serikali imetusaidia sana kuhusu bei ya korosho, tunaomba uendelee kuwabana kidogo mambo yatakuwa mazuri zaidi.
 
Kwa hili la mikoa ya kusini CDM tukajipange kujenga hoja na kuwawekea mitazamo wananchi naona CCM inapigia msumari kwenye korosho sasa watambue tutakuja kivingine korosho sio kila kitu
 
Siokwamba mtu anataka kupigwa chini kiroho safi tu ili asiumie sana anafarijiwa kabla
 
Mzee kasoma arama za nyakati usipocheka na nape kipi unategemea wakamulize lowasa
 
Kalikaushia kabisa la Bashite! Huyu jamaa mnafiki sana.
 
Back
Top Bottom