Serikali imeanza kupokea maoni kwa ajili ya uundwaji wa kanuni za sheria huduma za habari

Mzee mbon mgumu kuelewa....mbon upo kwenye kiwango kikubwa cha ujinga labda niandike kwa herufi kubwa uelewe... SHERIA HAIPITISHWI NA KANUNI, BAADA YA SHERIA KUPITA NDIO WADAU WANAITWA SASA KUTOA MAONI ILI KUTUNGA KANUNI ZA KUONGOZA SHERIA ILIYOPITISHWA...NA SIO KWAMBA SHERIA INA KASORO NDIO MAANA MAONI YANAOMBWA...kama hujaelewa sasa itakuwa bahati mbaya...
kwan Sheria nayo hawawe kuomba maon?
 
Sasa kama sheria haina kanuni polisi wanatumia sheria ipi kumshitaki Maxene Melo?
Kwa uwelewa wangu, Maxence Melo anashtakiwa chini ya Sheria ya Uhalifu wa Kimtandao (Cyber-Crimes Act) na Sheria ya Mawasiliano ya Kieletroniki na Posta (Electronic and Postal Communication Act). Sheria inayozungumzia hapa ni Sheria ya Vyombo vya Habari (Media Services Act).
 
Hii ndio siasa ya tz serikali iliyoko mdalakani ndio yenye katiba, kanuni,taratibu ,na sheria,kama unabisha bishana nao uwone kama.....
 
Kwa uwelewa wangu, Maxence Melo anashtakiwa chini ya Sheria ya Uhalifu wa Kimtandao (Cyber-Crimes Act) na Sheria ya Mawasiliano ya Kieletroniki na Posta (Electronic and Postal Communication Act). Sheria inayozungumzia hapa ni Sheria ya Vyombo vya Habari (Media Services Act).

Labda atakuelewa...asipokuelewa tena tumfunge mota kichwani
 
Mkuu umesahau kuwa ni serikali mkurupuko na mwendokasi usio ns direction. Gari bovu

Mmmh Tanzania kazi ipo....vilaza wa mwenddokasi katika ubora wenu...mnakurupuka kuhoji while hamjui mnahoji nini...ndugu zenu wavaa kaki ️wataendelea kuwaburuza mpaka mshike adabu....
 
Tuangalie kipimajoto ITV Ijumaaa ijayo kwa mjadala zaidi wa Kanuni za Sheria ya Huduma za Vyombo vya Habari
 
Back
Top Bottom