aloyce ibra
Member
- Oct 26, 2016
- 60
- 25
Udikteta wa maghufuli ndiyo unasababisha umeme kupand, sukari bei juu, wanafunzi kukosa mkopo madawa hospitali hakuna, sasa niambie udikteta wa mbowe umesababisha nini kwa watanzania wote?
TL anaongelea UDIKTETA-UCHWARA na si UDIKTETA kuweni makini kufuatilia mambo.
Jibu swali acha kuruka ruka...
Kwa tusio na vyama, direct effect ya so called "udikteta uchwara "tunaipata kwa Mbowe au Magufuli?Mbowe ni dikteta kama walivyo madikteta wengine...
Na anywa hata uji wa mgonjwa!Ujinga ni kudili na dikteta Mbowe ambaye hakusanyi kodi za wananchi na kumuacha Dikteta yule ambaye kasababisha bei ya sukari kupanda, mikopo kukosekana, uhuru wa maoni mfukoni n.k
Mbowe ni janga la taifa...
Mbowe pisha kiti waachie wengine...
Kama uchawi upo, uchawi mbowe alio wanyunyuzia Wanachadema ni wa kiwango cha juu yaani extraordinary.
Mbowe kiboko ya CCM, Huyo Ni kamanda wa Anga, CCM Mkisikia jina la MBOWE mnakuwa kama mmepigwa short ya umeme. NYERERE alikuwa Mwenyekiti wa Ccm kwa zaidi ya miaka 25,Kwa akiri yako ya chini unaweza kusema NYERERE naye tumuweke kwenye kundi la Madikiteta????.Mbowe ni janga la taifa...
Mbowe pisha kiti waachie wengine...
Kama uchawi upo, uchawi mbowe alio wanyunyuzia Wanachadema ni wa kiwango cha juu yaani extraordinary.