Recent content by AlmasMAlmas

  1. AlmasMAlmas

    JamiiForums Tanzania Ninamtaji wa laki 2 na nusu je biashara gani naweza kuifanya?

    Tafuta kijiwe mahali ulipo ambapk pamechangamka anza kuuza kuku wa vipande na ndizi
  2. AlmasMAlmas

    JamiiForums Tanzania Naona maisha yangu yako ukingoni, Sina Pesa wala kazi

    Hii hatua unayotaka kuchukua ni ubinafsi mkubwa kwa wale uwapendao na wakupendao. Kazi kamba za viatu tuendelee kupambana
  3. AlmasMAlmas

    JamiiForums Tanzania Anayefahamu kijijini wanakouzwa mashamba Kati ya laki 2 Hadi 5 anijuze popote Tanzania

    Ikiwa hutajari naomba ni connect na mtu wa huko. AAhsante
  4. AlmasMAlmas

    JamiiForums Tanzania Anayefahamu kijijini wanakouzwa mashamba Kati ya laki 2 Hadi 5 anijuze popote Tanzania

    Kisarawe ipi hiyo mkuu unapata kwa 250,000?
  5. AlmasMAlmas

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Kuna ile ilitaka kuchana hadi mbingu huyu Roma anatuletea kizaazaa
  6. AlmasMAlmas

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Hizi Radi za leo usikute Roma kavunja tena ile sheria ya God nini sijui
  7. AlmasMAlmas

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Mkuu hii riwaya ukiweeka kwenye hardcopy nitakuwa wa kwanza kuinunua
  8. AlmasMAlmas

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baharia; (Ujasusi, Mapenzi na Upelelezi wa kutisha)

    Niihitaji full hii riwaya ni kiasi gani...
  9. AlmasMAlmas

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Msaada nyimbo za Steve rnb na Chico chicco tae ile I need some money, Manelo nk. Ahsanteni Sent using Jamii Forums mobile app
  10. AlmasMAlmas

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Wakuu mwenye nyimbo za Steve rnb na Buibui naombeni tafadhari Sent using Jamii Forums mobile app
  11. AlmasMAlmas

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Riwaya za Kijasusi

    Mkuu dondosha vitu na mvua hii tunajifungia tu ndani.. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. AlmasMAlmas

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Shukrani sana mkuu. Barikiwa Sent using Jamii Forums mobile app
  13. AlmasMAlmas

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Wakuu naombeni wimbo wa Pastor faustin Munish ~ Namlilia Malebo Sent using Jamii Forums mobile app
  14. AlmasMAlmas

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Stori ya kijasusi - HEKAHEKA!

    Hii kweli heka heka natamani ata ungeishusha kwa fujo hivi ili jumapili yetu tuimalizie hapa boss Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom