Recent content by Alma mater

  1. A

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje demu kuja geto na rafiki yake

    Siku nikipata hiyo golden chance ntatembeza mzee boloyang kama sina akili vile. Tembezea wote bakola
  2. A

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuna waandishi wenye viwango vya kumuhoji Bilionea Rostam Aziz bila kuendekeza njaa?

    Kikeke aliyekatwa ubunge au kuna mwingine.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Mishahara mipya: Samia Kaongeza Tsh. 90,000 tu basi! hii ni dharau sana kwa wafanyakazi

    Kwani mishahara imetoka?
  4. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hivi hizi ajira za nyongeza za walimu 10000 alizosema simbachawene ndo washamaliza kuwapangia watu vituo? Maana naona toka tarehe 30 hawajatoa mkeka wowote.
  5. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Dah tulipiga written za ualimu nkapita kwenda oral nkapiga. Sahizi zimetoka PDF 21 zote bila bila yani nimekata tamaa.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Mchezo wa derby kurudiwa sio suluhisho la haki

    Mlifanya ujinga wenu wa kuweka mabaunsa mkitegemea mtapigwa fain ya mil. 5 sa kibao kimegeuka.
Back
Top Bottom