Recent content by Allykitemba

  1. A

    Historia ya Komandoo Tarimo

    Utaandkaje hstoria yake wakat hata jna humjui...??? Kuna Mahfudh na Tamim hamna Tarimo labda kwa kizaz kpya cha makomando wa xaxa.
  2. A

    Tamko la Jukwaa la Wakristo Tanzania kuhusiana na Muswada wa Mahakama ya Kadhi

    kwel kabsa, wanafuata upepo wa maslah yao bnafsi leo watamuita JK mteule kesho watamtukana, hawana jipya.
  3. A

    Tamko la Jukwaa la Wakristo Tanzania kuhusiana na Muswada wa Mahakama ya Kadhi

    Udini ndio unaowasumbua maaskofu, wamezoea kuwaendesha viongozi wa serikali ili kufikia malengo yao ya kuukandamiza Uislamu. Bila haki amani haiwezekani hata siku moja. Unafki umewajaa leo wanasema hivi kesho vile kwa kufuata upepo wa maslahi yao binafsi.
  4. A

    Tanzania yapunguza safari za Kenya Airways

    kwel kabsa, upo sahihi
  5. A

    Mlinzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    alienda kumpa pole baada ya kufiwa ni 'mjane'
  6. A

    Monusco on the spot as FDLR deadline expires

    kumbe Watutsi waliwazuia makamanda jwtz wetu wasipte kwenye nch yao?
  7. A

    Rais wa Gambia atangaza nchi yake kuwa dola ya Kiislamu!

    safi sana umemjbu vzur huyo....!!!
  8. A

    Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Lindi ajiuzulu. Adai Kamati Kuu ya CHADEMA imefanya maamuzi ya kijuha!

    hawashika nchi wanapeana posho kibao viongoz wa juu, je wakishika nchi si watagawana migodi yetu....??? Tuwe care
  9. A

    Said Arfi - Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA ajiuzulu rasmi!

    upo sawa kabisa hiyo chadema ni saccos ya watu wa kilimanjaro na arusha ndio maana watu wa mikoa mingine wanatolewa.
  10. A

    Uganda yaishutumu Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete juu ya EAC

    Tz inapinga kitendo cha nchì tatu kufanya maamuz ya EAC bila kufuata katiba ya EAC.Suala la miundombinu sí tatzo ila rais alishangaa kuona ametengwa ghafla ktk mpango wa kiwanda cha mafuta ghafi,umeme wa pamoja wakat alishirik mwanzon..
  11. A

    Tujitambue watanzania,utaifa kwanza memengine yatafata....!!!

    Nikiwa kama kijana (21) na ni Mtanzania napenda kuchukua fursa hii kuzungumzia katiba.Kwa wale wenye upeo watakubaliana nami kuwa nchi yetu ipo njia panda kuelekea katika machafuko ya kisiasa,machafuko ya kidini,matabaka ya walionacho na wasionacho pia kuna barabara kuelekea mafanikio na umoja...
  12. A

    Tumeripoti polisi na Mhe. Sugu

    Thats right, kiongozi mzur lazima awe na busara na hekma hata kama ameonewa hapo hatuna viongozi ni vurugu tupu.
  13. A

    Vurugu kati ya Wafugaji na Wakulima: Barabara kuu Dar - Mbeya yafungwa!

    Wakulima wa kijiji cha Doma mkoani Morogoro wafunga barabara kwa masaa kadhaa kutokana na kupuuzwa kwa madai yao na viongozi wa serkali dhidi ya wafugaji wa kimasai.Hali iliyopelekea kufunga barabara hadi atakapowasili mkuu wa mkoa wa Morogoro Mh.Joel Bendela.
  14. A

    GE2015 Zitto: Sitagombea Urais wala Ubunge 2015

    Bora upumzike na siasa za ubabaishaj za Mbowe na Slaa za kuwajaza watu matumain ya uongo na kualika mamluki (external support) ili waingie madarakan kwa njia yoyote ile hasa kwa machafuko....!!!
Back
Top Bottom