Recent content by ally salu

  1. ally salu

    Naomba msaada waharaka ZIP/POSTAL CODE ndio nini?

    Mfano Mimi nipo mwanza ntatumia postcode. Ya mwanza au lazima niwe na box langu Sent using Jamii Forums mobile app
  2. ally salu

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Uko wap Mimi nipo tayari kufanya iyo kazi sababu ndo kazi yangu mkuu. sent use Sony Ericsson969
  3. ally salu

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Hongerà sana mwenyezimungu akuzidishie haki nimepata chochote kutoka. kwako sent use Sony Ericsson969
  4. ally salu

    Wauza smartphone tukutane hapa

    90k ukimaanisha elfu 90 au sent use Sony Ericsson969
  5. ally salu

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Njoo nikuuzie tecno y3 kwa elfu 25 tu mkuu sent use Sony Ericsson969
  6. ally salu

    Mboga Mboga Wenye bar,,Hotel,,Migahawa,,Nauza kuku wakienyeji kwa wakazi wa Dar tu

    Hamna Kuku mgonjwa kka sent use Sony Ericsson969
  7. ally salu

    Mboga Mboga Wenye bar,,Hotel,,Migahawa,,Nauza kuku wakienyeji kwa wakazi wa Dar tu

    Sampe iyo Kuku wapo wa kutosha sent use Sony Ericsson969
  8. ally salu

    Mboga Mboga Wenye bar,,Hotel,,Migahawa,,Nauza kuku wakienyeji kwa wakazi wa Dar tu

    Kwa wale wa kazi wa Tanzania tu nikimaaanisha dar-es-salam Kuku wa kienyeji mitetea,,,jogoo wadogo saizi yakati mzigo unaingia tarehe 5 weka order yako mapema... sent use Sony Ericsson969
  9. ally salu

    Kwa wauzaji wa chupi za kike

    Nataka kwa jumla Kama inakulipa kwa 1000 dozen 25 sent use Sony Ericsson969
  10. ally salu

    Kuku kuchi hawa ni original?

    Shukran sana kaka mi ndo naanza mkuu nawashukuru sana wadau now amani ipo sent use infinix
  11. ally salu

    Kuku kuchi hawa ni original?

    Mkuu huyo kwenye picha ni wa kwako sent use infinix
  12. ally salu

    Kuku kuchi hawa ni original?

    Duuuh huyu ndo anabalaa lote OG mwanzo mwisho sent use infinix
  13. ally salu

    Kuku kuchi hawa ni original?

    Asante sana EvilSpirit mmetisha sana nimekua na amani sasa Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom