Naomba ushauri kuhusu biashara ya kuku wa kienyeji katika Mikoa ya Dar es Salaam na Arusha

ally salu

Member
Nov 19, 2019
55
72
Habari wadau wa JF Mimi ni mjasiriamali na jishughulisha na biashara ya kuuza kuku wa kienyeji nataka nipanue wigo wangu wa niende mbali zaidi kwa sasa na plan ya kupeleka kuku Dar-es-salam na Arusha ndio mawazo niliyonayo kwa sasa ila sasa Mimi ni mgeni sipajui Dar wala Arusha napasikiaga kifupi sijawahi kufika kabisa.

Plani ni kupeleka kuku kwa order, nimelileta huku kwenu wadau nipate ushauri wa kimawazo na mwongozo kwa wazoefu wa biashara hii nipo tayari kufanya biashara na mtu yoyote kwa makubaliano.

Ahsante nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Biashara nzuri sana hiii hasa ukiweza kudeliver kwa wateja.
Na ukiwa na page za social media kama Facebook, Instagram na hata hapa jf, it's a good business.
Sisi yangu alifanya sana hii business alikuwa ana order mpaka anashindwa kuzitimiliza.
Kuja mjini ufanye kwanza survey. Then utaniambia, naweza kukusaidia nina banda kubwa tuu la kisasa unaweza wahifdhi kabla huja deliver
Chek me inbox for more

Nashukuru sana kaka

sent use infinix
 
Back
Top Bottom