Recent content by Ally Mussa Ndimbo

  1. A

    JamiiForums Tanzania App za Mange Kimambi na Yerricko Nyerere zinawezaje kuvuka vikwazo vya google?

    kwa uelewa wangu mimi google pay is only available kwenye native apps. ila kama app sio native google pay hawahusiki nayo vile vile wakati una sajili app google kuna form una choose ukijaza app yako ni inapp purchase lazima watakupiga komeo lao ni lazima utumie google pay lakini kama utaweka app...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufundishwa machine learning, artificial intelligence/robotics

    kaka karibu kwenye hub ya tech in tanzania humu utawakuta hawa watu wote htpps://social.opentechtz.org
  3. A

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufundishwa machine learning, artificial intelligence/robotics

    hello brother welcome to Tz Tech Community
  4. A

    JamiiForums Tanzania Tanzania listes in top ten countries that have not prepared in cyber crime

    Serikali yetu haitakiwi kuweka ulinzi wa raia na mali zao tu, bali inatakiwa ihakikishe raia, mali pamoja na data zao znakua salama, kwasababu data ndio kitu pekee ambacho kinaweza mfanya mtu aweze kua na mamlaka sehemu, embu fikiria mifumo kama ya utumishi ikaja ikadukuliwa zikafutwa taarifa...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Hivi tanzania kuna Hackers??

    nidukue mkuu
  6. A

    JamiiForums Tanzania TBL wadukuliwa, wadukuzi wanataka bei ya bia ishushwe

    hahaha wenzao wanahak wanataka ajira wao wanahack wanataka bei ipunguzwe... ngoja tusubiri hzo data zao za siri watakazo vujisha heheheh Tanzania ya Viwonder
  7. A

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna uwezekano wa kupata free internet??

    Thank you. Broo
  8. A

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna uwezekano wa kupata free internet??

    Ahaa.. sawa broo subiri nkuoneshe [emoji57] [emoji57]
  9. A

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna uwezekano wa kupata free internet??

    We umeacha??
  10. A

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna uwezekano wa kupata free internet??

    [emoji23] [emoji23] inavo onekana huo ndo mchezo wako kushikwa sasa unafkiri kila mtu yupo kama ww
  11. A

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna uwezekano wa kupata free internet??

    Kwayeyote anaejua jinsi ya kupata internet ya bure.... tusaidianeni jaman
  12. A

    JamiiForums Tanzania Hacked: Website ya chuo cha TIIS imedukuliwa

    Ni hacking coz anaingilia PC yako bila ww kujua.. kwa kutumia open ports tena sio kusliliza sauti tu anaweza fanya kitu yoyote ile kwenye pc yako bila ww kujuwa
  13. A

    JamiiForums Tanzania Hacked: Website ya chuo cha TIIS imedukuliwa

    hahahaah nadhani wanazo stress za mikopo heslb huko . kama wanaweza wakahack na heslb huko tuwaone kama wapo vizuri
  14. A

    JamiiForums Tanzania Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika, kumbe anasema ukweli

    Lancefort Ltd - Пошук Google labda itakusaidia angalia results za hapo ili uelweve vizuri.
Back
Top Bottom