Tanzania listes in top ten countries that have not prepared in cyber crime

Apr 26, 2014
25
21
Serikali yetu haitakiwi kuweka ulinzi wa raia na mali zao tu, bali inatakiwa ihakikishe raia, mali pamoja na data zao znakua salama, kwasababu data ndio kitu pekee ambacho kinaweza mfanya mtu aweze kua na mamlaka sehemu, embu fikiria mifumo kama ya utumishi ikaja ikadukuliwa zikafutwa taarifa zote za watumishi, licha ya hivyo pia kuna mashirika makubwa ya kifedha ikiwemo BOT kama hakuna maandalizi mazuri ya usalama wa mtandao ikaja ikadukuliwa wakafuta taarifa nyeti unafikiri itakuwaje, pia tukumbuke kuna gridi za umeme kwamfano kinyerezi nayenyewe ikaja kudukuliwa na wahalifu wa kimtandao wakaweka virus kama stuxnet akaharibu mitambo ya kufua umeme, bado tuna mashirika ya simu, usafiri yote yakawa yanadukuliwa unafkiri tutaishije?
Na takriban asilimia 80% ya wizara, taasisi, mashirika yanategemea mifumo na mifumo hiyo ipo inatumia mtandao. Kwamfano mifumo ya ukusanyaji mapato ya kila manispaa ikaja kutokea ikadukuliwa wakafuta taarifa zote za ukusanyaji mapato ya serikali na hapo moja kwa moja inatulenga sisi wananchi ambao ndio tunalipa kodi kwajili ya maendeleo yetu ikaja kutokea hivo unafkiri serikali itaweza kutoa huduma bora kwa wananchi wake iwapo makusanyo ya kodi hayaonekani?
Mfano mzuri ni mwezi wa 5 ambapo mfumo wa rita uhakiki wa vyeti ulidukuliwa ikaleta shida ambapo wanafunzi wakabidi wajisajili na kulipia tena sasa ile ilikua kidogo je siku ikaja kutokea kwenye bodi ya mikopo? Zikafutwa taarifa kwenye database unafkiri wanao daiwa mikopo watalipa?

Pia sahizi kuna mfumo ujulikanao kama GEPG ni mfumo wa malipo ambao tunatumia kulipia sehemu mbali mbali vipi kama ikaja ikadukuliwa na wahalifu wa mtandao tukashindwa kulipia huduma zikasimama kwa muda.. Licha ya hvo kuna sehemu kama necta, nacte, tcu ... je siku ikatokea pia tukadukuliwa taarifa za wanafunzi zikafutika zote unafkiri itakuaje.

My take Serikali inatakiwa kuhakikisha Data za raia wake zipo salama. Kwa kuhakikisha wanapata watu sahihi ambao watahakikisha data za raia zinakuwa salama watu hao wanatakiwa wawe na ujuzi sawa na wahalifu wa kimtandao ili waweze kuwazuia
IMG_20190829_082330_456.jpeg
 
View attachment 1192564
can you share a link to the article?
 
China haonekani wala Israel wakati wao ndo wadukuzi wakubwa
Ili uwe mdukuzi mkubwa lazima uwe na ulinzi imara
 
Nawashauri basi kama hawawezi kulinda wawekeze zaidi kwenye kubackup data ili siku maharamia wakifuta data wawe na mahali pa kuziuploud upya
 
Je, hizo rasilmali tunazo za kufanya backup? Tumewekeza kwa njia sahihi? Na data zetu ziko wapi? Which type of servers? Tujifunze from mobile phone providers - hawachukulii vitu poa...
Ukitaka kujua watz hatuko serious na ulinzi wa data zetu tembelea tu website za taasisi za serikali utashangaa kama na sisi tuko karne ya 21
 
Back
Top Bottom