Habari ndugu zangu, Mimi ni kijana niliejiajiri na sasa nimepata fursa kubwa zaidi hivyo nauza vifaa vya saloon hivyo kwa anaehitaji chap anipigie kwa +255625981281
*Machine
*Kiti
*Vioo kidogo viwili
*Kipo kikubwa kimoja
JUMLA NAUZA Tsh 450,000/=
Posa ni kitu chenye thamani ambacho hutolewa katika familia ya mwanamke na kundi la watu wenye lengo la kuthibitisha uwepo wa ndoa kutoka kwa mwanaume.
Katika karne hii ya 21, kundi la wazandiki wa kindoa hutumia mwanya huo kutokana na sababu za wanawake wenye msimamo kutokukubali kuingiliwa...
Natafuta line ya M-pesa (uwakala) kwa mtu muaminifu aniuzie ili niifanyie kazi kwa mwaka huu huku nikiwa nakamilisha utaratibu wa kufatilia Makao makuu mana kwa sasa voda hawatoi tena line msaada ndugu zangu.
Mwambie ametapeliwa na wajanja wa mjini haswa kama amenunua kupitia mitandao, simu ya laki tano ukanunue laki mbili kweli? hata ujitahidi vipi huyo tapeli hawezi kukusaidia chochote ye ashukuru mungu tu kama amejifunza so ajichange anunue nyingine dukani (MPYA) MJADALA UFUNGWE
Ni bora tuwatambue kama washenga kamili na waliopitia mafunzo na wakifunzu watunukiwe cheti cha ushenga hodari kwani kwa kufanya hivyo itasaidia kupunguza au kukomesha uhatari wa michezo michafu kwa wanawake.
Posa ni kitu chenye thamani ambacho hutolewa katika familia ya mwanamke na kundi la watu wenye lengo la kuthibitisha uwepo wa ndoa kutoka kwa mwanaume.
Katika karne hii ya 21, kundi la wazandiki wa kindoa hutumia mwanya huo kutokana na sababu za wanawake wenye msimamo kutokukubali kuingiliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.