Recent content by allIneedisloyality

  1. A

    JINSI MWANGA KUTOKA KWENYE SIMU, KOMPYUTA NA TV UNAVYOWEZA KUPELEKEA UPOFU KATIKA MACHO YETU

    Acha kujidanganya ww... hapo hajazungumzia intensity ya mwanga.... kazungumzia mwanga wenyewe.... mwanga huo ndo wenye madhara... uwe umeweka juu au chini.... kinachotakiwa usiwe mweupe....
  2. A

    Wapiga debe Ubungo stendi wanasumbua sana abiria

    Nimeongea kitu kama hiki kwamba na mabasi mengine wangefanya kama walivofanya dar express na kilimanjaro express.... sababu hawa jamaa hawatumij stand ya ubungo na matokeo tunayaona
  3. A

    Wapiga debe Ubungo stendi wanasumbua sana abiria

    Nimekutolea mfano wa dar express na kilimanjaro express pamoja na dar lux. Hawa jamaa office zao hazipo ubungo zipo shekilango na kila mmoja ana office kubwa ambayo imejikamilisha... pale hakunaga habari za wapiga debe.... unless kama umeshindwa kunielewa
  4. A

    Kiongozi Mbio za Mwenge kitaifa.

    2000 au 2002 kati ya hiyo miaka miwili....
  5. A

    Kiongozi Mbio za Mwenge kitaifa.

    Jordan Rugimbana ambaye kwa sasa ni mkuu wa mkoa wa dodoma alikuwa ni kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa kati ya mwaka 2000 au 2002 kama sijakosea sababu nakumbuka nilikuwa mdogo na ninakumbuka moja ya nyimbo ambazo walikuwa wakimuimbia.... ukipiga hesabu hata hiyo 2002 tu hadi leo ni miaka 15...
  6. A

    Wapiga debe Ubungo stendi wanasumbua sana abiria

    Ningeshauri kila basi wajenge ofisi zao kama walivyofanya Dar lux, Dar express na Kilimanjaro express.... Kwa sababu katika maeneo hayo hakuna hayo mambo ya wapiga debe
  7. A

    A woman with 18 years or above is needed for serious relationship

    Am a man turning 24years old later in this year. I am still a student at a certain institute here in Tanzania. And I think it is the right time for me to find the right woman to whom, I shall build up my future with her and further into a marriage. I am in need of a woman who is loving, caring...
  8. A

    MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

    mr.sparon, mkuu unachoshindwa kunielewa ni nini? unaleta stori za reference ya biblia, kuna sehemu me nimezungumza reference ya biblia?.... sijazungumzia reference ya biblia ila nimezungumza kuwa reference ya kitabu alichoandika yeye ni baadhi ya vifungu katika biblia....unachoshindwa kuelewa...
  9. A

    MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

    Hatuangalii mwandishi wa kitabu ni nani.... na hiki ndio kitu pekee watu wengi wanafeli.... tunachoangalia ni je alichokiandika kina mantiki na pia kina uhusiano na bible.... ndio maana nikasema ni kitabu ambacho reference yake ni biblia... unachoshindwa kuelewa ni nn labda au hujui maana ya...
  10. A

    MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

    Nmesoma kitabu kimoja kinaitwa Mnyama, Joka na Mwanamke au The Beast, the Dragon and the Woman kwa kiingerenza unaweza ukagoogle majina hayo na link ya kwanza kabisa kitakuja kitabu hicho. Ni kitabu kizuri na kitu ambacho nikikipenda zaidi reference ya kitabu hiki ni biblia takatifu...
  11. A

    Natafuta mchumba(mwanamke) kuanzia miaka 18 na kuendelea

    Nmeshindwa kuedit heading... naona content to ndio unaweza kuedit....
  12. A

    Natafuta mchumba(mwanamke) kuanzia miaka 18 na kuendelea

    Am a man turning 24years old later in this year. I am still a student at a certain institute here in Tanzania. And I think it is the right time for me to find the right woman to whom, we shall build up our future all together and further into a marriage. I am in need of a woman who is loving...
Back
Top Bottom