Recent content by Allien

  1. Allien

    JamiiForums Tanzania Swali la Udadisi: Kisiwa cha Iwawa Rwanda

    Usipoonekana wengi wanahisi uko Iwawa. Ukijaonekana mitaani baada ya miaka miwili au mitatu, unakuwa na tabia tofauti na wengi hukushangaa.
  2. Allien

    JamiiForums Tanzania Swali la Udadisi: Kisiwa cha Iwawa Rwanda

    Wanajamii Nimekuwa nikisikia mengi sana yanaongelewa kuhusu Kisiwa cha Iwawa Nchini Rwanda. Usipoonekana wengi wanahisi uko Iwawa. Ukijaonekana mitaani baada ya miaka miwili au mitatu, unakuwa na tabia tofauti na wengi hukushangaa. Swali la Udadisi: Je umewahi kusikia lolote kuhusu Kisiwa...
  3. Allien

    JamiiForums Tanzania Special thread; Tamthilia ya Siri za Familia Inayorushwa EATV

    Kweli kabisa
  4. Allien

    JamiiForums Tanzania Special thread; Tamthilia ya Siri za Familia Inayorushwa EATV

    Haaaa haaa kumbe Mkuu umependa Chura. Mashape vipi? Linda? Brenda? Judy? Rachel? Victoria? Rockie? Evelyne? Kelly? Sophia? Dayana? Shape zao ni balaa. Lakini pia kazi zao ni nzuri?
  5. Allien

    JamiiForums Tanzania Special thread; Tamthilia ya Siri za Familia Inayorushwa EATV

    Inawezekana sana tu. Na kuna matukio mengi sana ukifuatilia kwa vyombo vya habari.
  6. Allien

    JamiiForums Tanzania TV4Sale LG 43" LED TV Full HD

    Ya mwaka gani
  7. Allien

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya Wanawake hawavai Chupi?

    Duniani kuna mambo
  8. Allien

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Saluni za kunyoa nywele sehemu nyeti

    Kazi kweli kweli
  9. Allien

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday Cacico

    HBD cacico CC: mwaJ
  10. Allien

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania WATOTO NDUGU KUGEGEDANA:wazazi wanamakosa kufikiri hawajakua na KUWAWEKA CHUMBA KIMOJA.

    Yamekukuta?
  11. Allien

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye HIPSI, Macho ya Kurembua, Sura nzuri, Nyuma Kajazia, n.k. - Vinatumika wapi hivi?

    Haaaaa haaaa Kaizer bana! Mpango mzima ni kuwa na mpenzi moja mwaminifu akupennde umpende na muishi maisha ya raha na starehe. Ili kujizuia kutamani vya nje, chagua vizuri ambavyo havitakubabaisha. Kama ni totoz shagua handsome wa nguvu wa vigezo vyako na kama ni Mkaka basi chagua Totoz ya...
  12. Allien

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume na Style Mpya ya Kibuti cha Kufunga Vioo/Kula cobis/Kuchuna!!!!!!!!!!

    Au mwambie nina uja uzito wako!
  13. Allien

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wanaotaka "English figure", if any, bado inawezekana

    Kila alipo Nyani Ngabu lazima EMT awepo. Ni wakareeeee kama vipi JF wajipange upya. CC: Smile
  14. Allien

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kijana wa kunifanyia Massage Nyumbani kwangu.

    Daah!!
Back
Top Bottom