Recent content by allesandro 2021

  1. A

    Mayele aliianzisha vita ambayo haiwezi, kulia lia hakutomsaidia kitu

    Wameondoka wengi Yanga waliopendwa hata kuliko hawa kina Mayele,na wala hawakutukanwa. Tatizo ni pale wanapoanza kukashifu timu. Majibu wanayapta kwa mashabiki wafia timu ambao ukiwaheshimu wanakuheshimu,ukiwadharau wanakudharau.
  2. A

    Luambano wa Clouds FM awashauri Simba kuachana na Mo Dewji

    Kwani si alishanunua timu miaka 5 iliyopita?
  3. A

    Kama Simba mmemuacha Sadio Kanoute basi mjue mmeiua rasmi Simba Sports Club

    Ingekua vizuri ungethibitisha habari kwanz ndipo uilete public,vinginevyo ni hisia zako tu
  4. A

    Nani anakumbuka ajali ya msafara wa Rais Hayati Mkapa dhidi ya lori kwenye kona ya Bwiru mkoani Mwanza

    Wakati Mkapa akiwa Rais palikua na gari zenye injini ya V8 kwenye msafara?
  5. A

    Je breki za upepo zinafanyaje kazi?

    Ni kweli kabisa. Kama mtu hawezi kutoa msaada/jibu bora akae kimya.....
  6. A

    Bernard Membe usibishane na Maaskofu, samehe tu. Yule ni kichaa anastahili msamaha, hakujua atendalo

    Pengine Musiba akienda mwenyewe kuomba msamaha,yataisha..aeleze aliyekua anamtuma,malengo yalikua nini,nk. Amsafishe aliyemchafua. Sio kusumbua wazee hap.
  7. A

    Morocco: Tiketi za mechi ya Wydad na Simba zaisha

    Naona tunawakuza sana hawa Wydad,mbona wanafungika?mwalimu aandae vijana vizuri tu mwarabu anakufa kwao.
  8. A

    Nyumba ya Maajabu Masaki!

    Polisi waliweka nyumba chini ya upelelezi kwa muda wote huo na hawakufanikiwa kubaini chochote. Mwandishi umejuaje majambazi waliua,wakamwagia miili acid,wakaizika kwenye shimo?una mawasiliano na wauaji?
  9. A

    Yanga itaenda kuvunja rekodi zote zilizowekwa na Simba kimataifa

    Haikua shirikisho. Yale yalikua mashindano ya kombe lililoitwa CAF ambalo lilikua linadhaminiwa na tajiri fulani wa huko West Africa. Wakati huo kulikua na kombe la klabu bingwa, kombe la washindi (shirikisho) na hilo la CAF.
  10. A

    Injinia Hersi Said: Bado tunamsubiri Fei Toto, tunaendelea kumlipa mshahara

    Una uhakika mkuu kwamba account ilifungwa?
  11. A

    Ramadhan Mbwaduke ndiye Mchambuzi Bora wa Mchezo wa Mpira wa Miguu kwasasa hapa Nchini

    They are neither Proactive nor preactive....labda reactive
  12. A

    Hatima ya Fei Toto kujulikana Jumatatu tarehe 9 Januari 2023

    Hatakama hanitaki,aondoke kwa utaratibu,tusiumizane.
  13. A

    Mambo Matano (5) ya kusisimua ambayo unatakiwa kuyafahamu kuelekea Fainali ya Kombe la Dunia hii leo

    Argentina imeshinda michezo 6 kati ya 12 iliyocheza na Ufaransa. Wametoka sare michezo 3. Ufaransa imeshinda michezo 3.
  14. A

    Mitaa ya Msimbazi hali si shwari

    Serikali iingilie kati?
  15. A

    Ratiba hii ya Yanga, TFF Ina jambo lake kwapani

    Mbumbumbu katika ubora wako
Back
Top Bottom