Recent content by Allegretto

  1. Allegretto

    Natafuta rafiki mwanamke

    Warembo wepi humu JF wako karibu na Isebania? Ningependa kupatana na mmoja wenu ili tuburudike pamoja :)
  2. Allegretto

    Vera Sidika kabla na baada ya kutumia vipodozi

    Pesa kweli yarembesha
  3. Allegretto

    Mishahara ya rais na wabunge yapunguzwa Kenya

    Mimi nampa Bi. Serem pongezi kabisa, ila pia ningependa hawa wabunge wa Kenya walipishwe ushuru kama wananchi wengine. Ala!
  4. Allegretto

    Why Magufuli administration misses the point on Government splurge

    On the matter of teenage mothers being barred from resuming school, Magufuli has misled Tanzanians. He'd rather have said they should go to different schools or special schools created to help them adapt well, NOT barring them altogether.
  5. Allegretto

    Russia: Rais Putin anyeshewa na mvua bila ya kukatisha wimbo wa taifa

    Taarifa hii ina umuhimu gani kwetu kama wanajamii wa Afrika Kusini? Mini sioni maana wowote hasa!
  6. Allegretto

    Why Are Countries which were colonised by British developed

    In my opinion, the British had a governance system that was much more effective than the ones used by the other colonial powers. This is inclusive of the education set-up, taxation schedules, representation of the people (parliamentary system) and most of all, a highly pervasive language that...
  7. Allegretto

    Vyakula vinavyobaki kwenye mighahawa huwa vinapelekwa wapi?

    Ina Inaonekana hoteli za Singida kuna vyakula vya ajabu kabisa :D
  8. Allegretto

    Msanii Ebitoke alia hadharani akimtaka Ben Paul kimapenzi

    Mpakwa wese ndiye nani yule?
  9. Allegretto

    Vyakula vinavyobaki kwenye mighahawa huwa vinapelekwa wapi?

    Katika kijiji changu kidogo pale mashambani, vyakula vinavyobakia hotelini huuzwa kwa wafugaji wanyama kama nguruwe, mbwa n.k. Vile vinavyoweza kuliwa tena (k.m. Viazi kaanga) huwekwa na kuchemshwa keshoe.
  10. Allegretto

    Msanii Ebitoke alia hadharani akimtaka Ben Paul kimapenzi

    Kumbe Ebitoke ni binadamu! Mara ya kwanza nilipolisoma tu nilidhani ni ndizi! :D:D
  11. Allegretto

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    I agree with what Sean Marcus said. These threads about SGR/Kenya-Tanzania comparison are becoming too much and it is not like any of us here is a government minister so we're making too much noise for nothing!
  12. Allegretto

    School Buses to be painted Yellow in new traffic regulations

    Mimi sijali rangi ya basi kabisa. Kile bora ni kwamba madereva watatia maanani zaidi kanuni na sheria katika kazi yao ili usalama wa wanafunzi ulindwe
Back
Top Bottom