Russia: Rais Putin anyeshewa na mvua bila ya kukatisha wimbo wa taifa

Hapa ndipo ninapowachukia marais wa kiafrika.... Mwanaume katulia kama hamna kilichotokea
 
Hongera kwa comrade Stalin hii vita ilikua ni kavu sana. Sijui ilikuaje NAZI walishindwa kufikia Kremlin wakati ilibakia si zaid ya kilomita 300 wafikie ikulu, Moscow ilikua tete.
Sijui dunia ingekuaje kama ujeruman angeshinda.
Uchungu wa kupoteza makoloni yake yote kwa uingereza ilikua ni loss kubwa sana.
One day they will come back. Kile kizazi sio mchezo.

Bado najua teknolojia wamebaki nayo ujeruman japo waliibiwa wanasayansi kibao.
Hitler was crazy kwa kweli.
 
Hivi nyie mnamwonaje kwanza Putin ni wa kukimbia mvua?
putin-illo-one_2156274b.jpg
 
wakuu kila kukicha mnazidi kuiharibu jf kila kinachotokea ni kwamba kila member anatoa comments against serikali tu na magufuli tuwe makini discussion ziwe za kujenga sio ushabiki usiokua na tija.
 
Taarifa hii ina umuhimu gani kwetu kama wanajamii wa Afrika Kusini?
Mini sioni maana wowote hasa!
 
huyu rais unaonesha yupo simple tofauti na ninavomzania......kavua koti kalikung'uta maji then kachoma nalo ndani.....nlijua atampa mlinzi wake alie karibu
 
Back
Top Bottom