Recent content by ALL ABOUT ANNA

  1. A

    JamiiForums Tanzania Why x-mass

    Hivi x-mass ni biblical au ni uvumbuzi wa binadamu
  2. A

    JamiiForums Tanzania much respect kwa wana jamvi hatimae nimepata kazi kupitia utumishi.

    usifurahie kuajiriwa, furahi kujiajiri
  3. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Nina degree ya procurement and logistics management kutoka mzumbe university
  4. A

    JamiiForums Tanzania Wanawake walio wengi huvutiwa na wanaume warefu

    Jamaa mmoja alikuwa amekaa pamoja na demu wake juu ya Mercedes Benz toleo jipya,ndipo jamaa alipoanza kusema. Jamaa:samahani naomba unisamehe Mwanamke:nikusamehe nini tena? Jamaa:nimekudanganya Mwanamke:umenidanganya nini tena? Jamaa:Nilikwambia ya kuwa sina mke ila ukweli ni kwamba nina mke na...
  5. A

  6. A

    JamiiForums Tanzania MAFUTA YA UBUYU KWA WADADA: Kwa kuboresha tendo

    ukitaka kutajirika sasa hivi associate bidhaa zako na tendo la ndoa
  7. A

    JamiiForums Tanzania MKURABITA! Historia za Kweli jinsi wadau(Tz) walivotoka kiuchumi. Ngombe 1 mpaka kumiliki Ranch!

    KWA HIYO TULIOKULIA KIJIJINI TUNALALA NYUMBA MOJA NA NDAMA, MBUZI n.k tumeathirika na harufu ya mbolea?
  8. A

    JamiiForums Tanzania MKURABITA! Historia za Kweli jinsi wadau(Tz) walivotoka kiuchumi. Ngombe 1 mpaka kumiliki Ranch!

    mbona unaponda sana waajiriwa, na wakati huo huo unahimiza watu wawekeze, je kwani hao wawekezaji hawatahitaji wafanyakazi (kufanya wengine watumwa wao kama wewe unavyowaita wafanyakazi kuwa ni watumwa). Mimi nikijua hii biashara ni yako huwezi kuniajiri kwa kuwa unafikiri waajiriwa ni watumwa
  9. A

    JamiiForums Tanzania Elimu inapogeuka adui mkubwa wa ndoa...nini kifanyike?

    Mtu keshachezewa chuo anatoa vimasharti vya gari na nyumba. Ujinga kabisa
  10. A

    JamiiForums Tanzania Wa Tz Tutakufa Maskini Kwa Kimbilia Kuchimbia Pesa (Kujenga) Badala ya Kuizungusha Izae Zaidi

    nitajie tajiri mwanamke kati ya wale mia wa tanzania
  11. A

    JamiiForums Tanzania Wa Tz Tutakufa Maskini Kwa Kimbilia Kuchimbia Pesa (Kujenga) Badala ya Kuizungusha Izae Zaidi

    hiki tunakiita kiburi, hufai kuwa kiongozi wewe, atakayekuoa ana taaaabu!!!!
  12. A

    JamiiForums Tanzania Wa Tz Tutakufa Maskini Kwa Kimbilia Kuchimbia Pesa (Kujenga) Badala ya Kuizungusha Izae Zaidi

    LAZIMA WEWE Lara 1 siku moja utakuwa mwizi wa kodi ya serikali,,, tupinge???? Na mwizi hataenda mbinguni
  13. A

    JamiiForums Tanzania Wa Tz Tutakufa Maskini Kwa Kimbilia Kuchimbia Pesa (Kujenga) Badala ya Kuizungusha Izae Zaidi

    Unakoelekea lazima siku moja uwe mkwepa kodi wewe
  14. A

    JamiiForums Tanzania Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

    Mbona na wanawake nao wanatembea na houseboy, though wanaume wana hela ya kufa mtu
  15. A

    JamiiForums Tanzania Wa Tz Tutakufa Maskini Kwa Kimbilia Kuchimbia Pesa (Kujenga) Badala ya Kuizungusha Izae Zaidi

    zakaria halipi kodi kama inavyopasa, kwanza tin yake iko zanzibar.
Back
Top Bottom