much respect kwa wana jamvi hatimae nimepata kazi kupitia utumishi.

Jul 21, 2012
19
0
kwa matangazo yaliyokua yakiweka jamvini, thax God for what u did to me, never give up brother n sisters kutafuta kazi ni kugumu asikwambie mtu, nimesugua benchi for more than 2 years now i get the starting point, usichoke kujaribu
 

naumbu

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
4,710
2,000
usifurahie kuajiriwa, furahi kujiajiri

Kwani kila aliyejiajiri amefanikiwa?au ukiajiriwa huwezi kujiajiri baadae?unaweza kujiajiri bila mtaji?mijitu mingine mmeletwa duniani kuwa negative tu ungempongeza ukaendelea na kujiajiri kwako ingekupunguzia nini?numb head
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom