Recent content by aljohnson

  1. aljohnson

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Klopp anaangwa vizuri kabisaa
  2. aljohnson

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Wakuu nilileta issue yangu mnisaidie [emoji1483][emoji1483][emoji1483] Nilifuatilia lakini sikupata a good solution kutoka kwa Airtel... Lakini katika experience yangu ya kutumia hii device, ndio nikagundua Huwa inakuwa slow pale ninapokuwa nyumbani. Na Most of the time nikiwa home huwa natumia...
  3. aljohnson

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Shukrani mkuu ngoja nifanye hivyo
  4. aljohnson

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Wakuu naomba tips za kufanya hii router ya Airtel unlimited inipe Kasi nzuri, ni siku ya pili sasa tangu niinunue pale mlimani City kifurushi Cha 10Mbps. Iko slow sana mfano YouTube inafunguka kwa shida sana tena low quality 144k na hapo taa ya 4G inawaka na ya kijani pia, isipokuwa tu ya 5G...
  5. aljohnson

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Hicho kifurushi Cha Tshs 70,000/- kimeondolewa kabisa kwa wote au ni kwa enterprise pekee?
  6. aljohnson

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Shida ni Bei ya router ni Tshs 650,000/- na haupati kifurushi bila kununua router yao
  7. aljohnson

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Wanatoa router unaweza nenda nayo popote kama airtel??
  8. aljohnson

    Mind Bending| Blowing Movies| Series| Special Thread.

    [emoji1484][emoji1484]
  9. aljohnson

    Mind Bending| Blowing Movies| Series| Special Thread.

    Search Google, play store hazipo. Baadae ya kuinstall ndio utatakiwa kudownload recommended player playstore Hizo hapo chini na player zake
  10. aljohnson

    Mind Bending| Blowing Movies| Series| Special Thread.

    Tafuta hizo app HDO box na Onstream unaweza angalia movie mpaka series online, Onstream unaweza download kabisa ukaangalie baadae
  11. aljohnson

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Asanteni wakuu ngoja niyafanyie mliyoongea
  12. aljohnson

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wakuu kwa watu walichaguliwa written interview, kuna haja ya kuwa na deed pool?? kama majina ya vyeti vya taaluma ni mawili lakini cheti Cha kuzaliwa na NIDA ni matatu.
Back
Top Bottom