Recent content by Alika

  1. A

    JamiiForums Tanzania CEO wa Vodacom aliyeteuliwa toka Kenya anyimwa kibali na Serikali. Aambiwa wapo watanzania wa kufanya kazi hiyo

    We unadhan kukwamisha mizigo Yao bandarin ndio tumeweweza ACACIA?? Tusijerudi nyuma enzi zileeee kuanza kuchezea dhahabu Kama kete za bao
  2. A

    JamiiForums Tanzania CEO wa Vodacom aliyeteuliwa toka Kenya anyimwa kibali na Serikali. Aambiwa wapo watanzania wa kufanya kazi hiyo

    Kwa lipi la kudeal na wao accordingly? Kuachomea vifaranga wao???!!! Au kuwauzia ng'ombe wao!!!! Otherwise tujipange upya,,,
  3. A

    JamiiForums Tanzania Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

    Huyo Cha kufanya Hana,, atatue kwanza ya nyumbani mwake,, Hivi huwa hamumshauri kweli???
  4. A

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kutupia picha za viatu vya kiume!

    Hiki kinawafaa. Wasukuma
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Charles Mkumbo amepata ajali na kupelekwa hospitali ya Mount Meru

    Asante kwa kumfafanulia,, lakin kwa jinsi alivyo na kichwa kigumu halafu akili kiduchu sidhan Kama ataelewa,,, shida yo moja walishashindwa KILA kitu, wanajua to kutumia nguvu na mabovu, vingine hamna kitu.??
  6. A

    JamiiForums Tanzania Makonda: Kinondoni msipomchagua Mtulia mtaendelea kubomolewa nyumba, chagueni CCM mpate maendeleo

    Yaaan kwa akili zake zilivyotumika za kushikiwa hili was halitambui, but time is a good judge, tunasubiri tuone makuu ,,,,
  7. A

    JamiiForums Tanzania Watu kushadadia kuitwa SHITHOLEkisa mapungufu tuliyonayo

    Shithole[emoji6]
  8. A

    JamiiForums Tanzania Vituko vya watu mkoani mbeya

    Naona unajifanyisha!! Au huelewi kweli? Kweli we changamoto
  9. A

    JamiiForums Tanzania Vituko vya watu mkoani mbeya

    Wanabebaga take away,,, Pepsi ndo producer,,, jamaa wanapenda vitu vitamtam balaaaa
  10. A

    JamiiForums Tanzania Kikwete kwa mbinu hii ya kummaliza Lowassa alifaulu vinginevyo...

    Hii ndio hatari ya vijana wanaokumbuka na kujawa na kumbukumbu nyigi ila hawana maono,,,
  11. A

    JamiiForums Tanzania Vituko vya watu mkoani mbeya

    Amesahau na mirinda nyeusi,,, ndio wanapenda kushushia mbalaga na makasokela,,,
  12. A

    JamiiForums Tanzania Tanzania tukae tayari kwa rais wa milele

    Kwa life span ya bongo Hapo hakuna huyo unaemsema wa milele,, NI karibu SAA 12 jioni
  13. A

    JamiiForums Tanzania Tabia za madereva wa aina mbali mbali za magari

    Ndio tunazoziwezea kwa spearparts na mafundi wake wapo, mengine yakilogo lazma ufate mafundi magharibi,,, Kuna jamaa mbeya alikuwaga na GMC alikonda nayo,,
  14. A

    JamiiForums Tanzania Fahamu vitu ambavyo ‘Sex Dolls’ wanaweza kuvifanya

    [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Jamaaaniiiii,,, Jamii Forum raha Sana
  15. A

    JamiiForums Tanzania Fahamu vitu ambavyo ‘Sex Dolls’ wanaweza kuvifanya

    [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] we're umepinda umepitiliza
Back
Top Bottom