Makonda: Kinondoni msipomchagua Mtulia mtaendelea kubomolewa nyumba, chagueni CCM mpate maendeleo

Kama hayo maneno yametoka mdomoni mwa bashite..basi kweli atakuwa na kazungusha duara..tena yeye atakuwa na zero mbili..ile ya darasani..na Ile ya marindaless..
 
Wakulaumiwa ni mbowe,tulikua tushasusa sijui kimempata nini kabadili gia angani
Tukae tu kimya kama chama hakina msimamo,kinajiondoa uchaguzini kupinga kuingiliwa na ma Rc na ma Dc,halafu kinarudi ulingoni,mkisikia kauli kama hizi mnyamaze tu mmekubali kuingia vitani,silaha yoyote itatumika ili adui ashindwe
 
Ndio maana hana mrithi Mungu kaamua kumadhibu mwenyewe na yote anayojikusanyia yatakuwa kwa faida ya nani jina lake litafutika na kamwe halitaendelezwa tena.
 
Ama kweli hili Taifa Lina viongoz wa ajabu! Kumbe aliyesema kuwa maendeleo hayana chama alikuwa anapakapaka mafuta! You are planting the seed of your own destruction!
 
Huu mgawanyiko mnao ujenga msije kuujutia tuu

So ukiwa na mawazo tofauti hufai aisee kuzaliwa taifa la wajinga ni shida sana
Wanaweka mgawanyiko wa kichama. Hii ishu ikija kuwatokea puan wasije kunyoosheana vidole.
 
Why dont you guys kill multiparty thing? you have majority in perliamenty change the constituition then you have it all! hakuna haja ya kupoteza feza kwenye chaguzi kila kukicha mbuge anahama chama halafu anagombea tena kwenye chama tawala! huu uharibifu wa hela kwa kurudia uchaguzi kwenye nchi maskini kama hizi ni vitu vya ajabu sana ndio maana Trump hatuelewi!! hivi tuna vipaumbele kweli au? hawa wanaodai wana uchungu na nchi ? ni wa kweli?? just kill it dont keep wasting money!!
 
ground nzuri ya petition mahakamani. Intimidation to voters

6. Whether or not at Runazi, Nyarubungo, Biharamulo town and Rusahunga polling stations votes were intimidated, discouraged misled as well as scared
hence were so many spoilt votes and blank papers to the effect that the elections were not free and fair.
Mkuu hyo petition ita sustain au manake hapa ni rule by law
 
Hata kama makonda asingesema, CCM kushinda Kinondoni ni lazima na wanashinda kwa sababu ya upuuzi wenu.Nyinyi UKAWA mlikubalina Kinondoni ni ya CUF sasa Kwa nini CHADEMA mmesimamisha mtu au UKAWA ishakufa, yaani mnarudia upuuzi ule ule mlioufanya Jimbo la Segerea, CUF kasimamisha mtu na CHADEMA nae kasimamisha mtu, mwisho wa siku CCM kashinda, wakati mngesimamisha mtu mmoja tu, mlikuwa mnalichukua jimbo la Segerea. Mimi naamini kwa upinzani huu usiokua na umoja, CCM itatawala milele.
 
Tunaongzwa na washama. Wanatengeneza tatizo halafu wanakuja na solution. Maendeleo ya Kwel tutayasikia tu kwa jirani zetu. Haya mazezeta hayatupeleki kokote zaodi y kujitafutia sofa.​
 
Back
Top Bottom