Recent content by ALIBI

  1. A

    JamiiForums Tanzania Air Tanzania: Dar es Salaam - Mumbai (USD 289)

    Hawajaachana na hiyo route bali mwanzo walitaka kutumia B 787 badala ya zile air bus ambazo zilichelewa kuletwa, kwa kuwa zimekaribia kuja ndio zitazo tumika route hiyo.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Wafugaji wa mbwa kibiashara au ulinzi tukutane hapa

    BM breed ilikuwa created Mwaka 1892 around the same the same time GS breed ilikuwa created so hoja ya muda haina mashiko. Mimi nadhani kuna sababu nyingine iliyosababisha uchakachuliwaji wa GS na moja wapo ni popularity iliyosababisha Waenee maeneo kibao na kuwa na variations nyingi, mfano kuna...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Wafugaji wa mbwa kibiashara au ulinzi tukutane hapa

    Mengi umeeleza sawa isipokuwa GS ni kati ya breed mpya imeanzishwa mwishoni mwa 1800's hawana hata miaka 200 sasa wewe hiyo 1000 umeitoa wapi? Kingine watu wengi hawaelewi kuwa kuna GSD show line na GSD working line, kama uta concentrate on looks, you will end up buying a show line GS kwa ajili...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Wafugaji wa mbwa kibiashara au ulinzi tukutane hapa

    Belgian shepherds sio wakubwa kiivo, wana umbo dogo hata kuliko GSD, natafakari hapo uliposema "wakubwa mno".
  5. A

    JamiiForums Tanzania Wafugaji wa mbwa kibiashara au ulinzi tukutane hapa

    German Shepherd ni breed yenye variations kwa sababu over the years breeders wamejaribu kuproduce gsd's kwa malengo tofauti tofauti, kwa hiyo sio ajabu kwa kutojua watu wakamiliki mbwa ambao hawakuwahitaji. Mfano mtu anaweza miliki gsd ambaye ni show line kwa lengo la kuwa mbwa wa ulinzi.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Wafugaji wa mbwa kibiashara au ulinzi tukutane hapa

    Very true! Na hao gsd wa show lines wanakua na long coat kulinganisha na working line.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Wafugaji wa mbwa kibiashara au ulinzi tukutane hapa

    Karibu mkuu
  8. A

    JamiiForums Tanzania Wafugaji wa mbwa kibiashara au ulinzi tukutane hapa

    German Shepherd bora sio lazima awe tan and black kama unavyodai, in fact German shepherd wa kwanza hakuwa na rangi hiyo alikuwa sable. Nchi za wenzetu wanapenda tan and black au red and black color kwa ajili ya show line competition, kwa ajili ya ulinzi unaweza pick rangi nyingine, colour...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Natamani kuona Polisi wakienda kulinda amani mataifa ya nje (Peacekeeping)

    Ivi jw kuna wale mbwa wa kunusa mabomu na farasi?
  10. A

    JamiiForums Tanzania Kiprotokali IGP anampigia saluti DC?

    Swala la mtu kuwa Askari haimaanishi atapiga salute kwa kila mtu. Salute zina sheria zake za nani atapigiwa salute na nani. So kabla hujafanya conclusion fanya uchunguzi kwanza.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Feza Girls yaongoza kitaifa matokeo ya kidato cha sita 2017

    Inawezekana wewe ndio bashite maana jf tunatumia usernames zozote Post sent using JamiiForums mobile app
  12. A

    JamiiForums Tanzania Feza Girls yaongoza kitaifa matokeo ya kidato cha sita 2017

    Mkuu inabidi ueleze umetumia kigezo gani kusema tabora boys ni shule ya kata Post sent using JamiiForums mobile app
  13. A

    JamiiForums Tanzania Mada: Fahamu mambo mbalimbali kuhusu gari aina ya Subaru Forester

    Subaru haina 4WD inatumia symmetrical AWD ambayo ipo engaged muda wote haijalishi ni lami au vumbi. Fatilia iyo symmetrical AWD ina operate vipi utangundua neno 4WD umekosea kulitumia hapo.
  14. A

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Suzuki sx4

    Nahitaji kununua gari na katika pitapita yangu mitandaoni katika websites za wauza magari nimekutana na gari hili SUZUKI SX4 kwa haraka limenivutia hasa uwezo wake wa kwa barabara mbovu ukizingatia nitaendesha kwenye barabara za vumbi kwa baadhi ya nyakati. Pia nimevutiwa na ukubwa wa engine...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ambana RPC mahakamani, RPC ashikwa kigugumizi (Shein na Seif) nao wahitajika mahakamani

    mkuu nijuavyo mimi hicho cheo sio CP
Back
Top Bottom