Nahitaji kununua gari na katika pitapita yangu mitandaoni katika websites za wauza magari nimekutana na gari hili SUZUKI SX4 kwa haraka limenivutia hasa uwezo wake wa kwa barabara mbovu ukizingatia nitaendesha kwenye barabara za vumbi kwa baadhi ya nyakati.
Pia nimevutiwa na ukubwa wa engine yake 1490 cc nikaona labda inaweza kuwa vizuri kwenye fuel consumption lakini zaidi ya hapo sijajua kuhusu uhalisia wa umiliki wa gari hili hapa bongo kama spea zake zinapatikana au uzuri na ubaya wa gari hili.
Wadau karibuni mnipe ushauri hasa wale mlowahi au mnaomiliki gari hili.