Recent content by Ali Matongo

  1. A

    JamiiForums Tanzania Mwananchi Insurance Co. LTD

    asante kwa ushauri wana JF
  2. A

    JamiiForums Tanzania Mwananchi Insurance Co. LTD

    Habari wana JF. Nahitaji kukata Bima ya Gari langu kampuni ya Mwananchi Insurance Co. LTD. Naomba kujua uzuri wa kampuni hii. Naomba kuwasilisha!
  3. A

    JamiiForums Tanzania Traffic police watiwa kitanzi, wafungiwa mashine za EFD

    kidogo mapato yataongezeka kwa kuzuia vitabu vyao feki, ila rushwa bado itakuwepo
  4. A

    JamiiForums Tanzania Hili tangazo la Magodoro na Jini, walifikiria nini!?

    Tangazo baya silipendi kabisa.Sijui waliwatoa wapi wale..
  5. A

    JamiiForums Tanzania Jinsi Vimbunga/Dhoruba (Hurricanes/Storm) vinavyopewa Majina

    Wataalamu wa Hali ya Hewa katika eneo ambalo linaathiriwa na vimbunga, kwa mfano nchi zote ambazo ziko karibu na bahari ya hindi, hukutana kabla ya msimu wa vimbunga ili kutoa mjina ya vimbunga hivyo, na kila nchi inawasilisha majina na hatimaye wanakuwana majina ya imbunga(list) kwa msimu huo...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Tukemee wanawake wanaovaa nguo fupi

    kwa akili zao wanaona kama vile wanapendeza au watapendwa. ovyo sana na tukemee.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kali kwa nyote mlio na magari binafsi; chunga sana na waambie wengine!

    constructive info. asante mkuu
  8. A

    JamiiForums Tanzania Kuna 'vigari' mwanaume hutakiwi kuendesha by the way

    Wewe mwenyewe huna hata bajaj, unaleta mambo yako hapa. cha msingi sipandi dala dala...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Passo Owners Association (POA) Dsm chapter

    Cha muhimu usafiri. wewe unalo??
  10. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ni kampuni gani nzuri kwa bima za magari

    Mwananchi Insurance ovyooo kabisa. Nenda Jubilee Insurance, wako poa
  11. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ni kampuni gani nzuri kwa bima za magari

    Jubilee Insurance mkuu. Usifanye mchezo na Mwananchi Insurance, hao hawafai kabisa. kuna jamaa yangu gari lake liliibiwa, hadi leo hajalipwa. Documents zote, taarifa ya upelelezi wa police na taaria ya mpelezi wao na taratibu zote kazifanya, mwezi wa nane huu hakunamalipo waamzungusha tuu...
Back
Top Bottom