Recent content by Algernon

  1. A

    Wanaume mnaofika kileleni mapema mnakera sana

    Siulizi kwa ujinga lakini mwanaume unafaa kulast kwa approximately dakika ngapi?
  2. A

    Je, Una maoni gani juu ya mahari?

    Kwangu mahari inafaa kua zawadi kutoka kwa muozwa kwa familia anayeolewa. Kwa hivyo inafaa kuwa chochote kile anachoweza, akileta kidogo aibu kwake, akileta kikubwa sifa kwake. Cha msingi ni kwamba aape kuwa atamtunza bibi.
  3. A

    Nmueleweje huyu mwanamke

    Mimi naona ni power-play hapa. Mwandalie nauli kisha mwende kwenyu.
  4. A

    If You See One Of These At The Beach dont touch it

    It was just an irritation similar to that of Stinging Nettle that healed after some hours. I don't think you can get serious damage from them unless they swam on you in their hundreds.
  5. A

    Jinsi ya 'Kumatch' mavazi

    In which Epicviking teaches you how to match • /r/malefashionadvice There are a couple of approaches to choosing color palettes. The first is what is called the Seasonal Approach. The seasonal approach groups colors together into prepackaged seasons, appropriately named Winter, Spring, Summer...
  6. A

    What happened to kenyan music jamani?

    Mziki wa Kenya umesonga mbele na pia kumechipuka wanamziki wapya ilhali wale wa zamani wamedidimia. Ukitaka mfano mzuri jaribu Willy Paul, Kalligraph, Rabbit (King Kaka), Octopizzo, Size 8 e.t.c African King - Fena Gitu (Official HD Video)
  7. A

    If You See One Of These At The Beach dont touch it

    I have been stung by one similar to this except it was straw coloured instead of purple. Same size though.
Back
Top Bottom