Recent content by Algebros

  1. A

    JamiiForums Tanzania Munalove: Bilionea mwenye utu!

    Acha uongo, Obama ni bilionea?
  2. A

    JamiiForums Tanzania Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

    911 namba yake hio.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Tabia zipi huzipendi kwa ndugu yako, mpenzi wako, rafiki yako au hata mzazi wako?

    Hii dawa yao moja tuu, mnasalimiana kawaida akikuomba kitu unasema sina hakuna kusema subiri week ijayo au nikipata.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Uchumba ni kivuli cha ndoa. Ukiona dalili hizi kwa mpenzi wako vunja uchumba

    Hizi mbona tabia za kawaida sana tunarekebishana tuu na maisha yanaenda.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Girlfriend kichefu chefu kweli. Ndio aende hatua ya uchumba huyu?

    Ila huu ujinga ndio maana ccm wameifanya tanzania nchi ya mama yao. Mtoto wa kiume umeshindwa kufanya maamuzi mpaka unakuja kulalamika JF.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Hivi umeshawahi kukutana na mwanamke mwenye kigugumizi?

    Yes ni kweli kabisa kuna vingine ukiwahi ukiwa mtoto unapona. Sema hua utaratibu bongo hatuna.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Hivi umeshawahi kukutana na mwanamke mwenye kigugumizi?

    Mi nazani kigugumizi kupona ni Mungu tuu, Europe and Usa wana the best speech therapists lakini bado watu wa vigugumizi wapo kibao tuu.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Napendekeza Magufuli awe Rais wa maisha, tufute vyama vingi

    Halafu unakuta mbwa kama wewe huna ata kazi unasifia ujinga tuu pumbavu kweli.
  9. A

    JamiiForums Tanzania CCM tufungilieni mitandao maisha yaendelee, tayari mmechukua nchi nzima kwa kishindo!

    Acha waendelee kuwafungia ata mwaka mzima, si mmewapigia kura wenyewe.
  10. A

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tamko la Ubalozi wa Marekani kuhusu uchaguzi Mkuu Tanzania 2020

    Haya matamko hayasaidii kitu tumeyachoka, kilichobaki ni wananchi kuamua wenyewe tuu. Wakiamua kukaa ndani poa, au kwenda mtaani poa tu.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wenye jina la Mendy..

    Hawa kina Mendy unaweza panga 11 kabisa wapo wengi. Edouard Mendy ( Chelsea- Senegal) Benjamin Mendy ( man city- France) Ferland Mendy ( Madrid - France) Arial Mendy ( Senegal) Frederic Mendy- Guinea Bissau Nampalys Mendy - Leicester (France) Alexandre Mendy ( France) Laurent Mendy (Senegal)...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Mtindo wa Misiba ya Siku Hizi: Watoto waliozaliwa mijini (1990's) wanavyokataa kusafirisha miili ya wazazi wao kwenda kuzikwa kijijini na kupasua ukoo

    Nazani uanze utaratibu wa wazazi kuwaambia watoto wao wapi wazikwe hii itasaidia sana kutatua hio migogoro. Watu wa vijijini wanalalamika tuu ila ukiwaambia wachangie ata tsh 100 ya kusafirisha mwili hawatoi.
  13. A

    JamiiForums Tanzania Chubby women are so beautiful

    Mwili mzuri huo usiongezeke.
  14. A

    JamiiForums Tanzania Chubby women are so beautiful

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787] we jamaa utakua mtaalamu wa vibonge.
  15. A

    JamiiForums Tanzania Ilikuaje mpaka ukamla mke wa mtu?

    Huyu jamaa ni fala kweli, angedeal na mke wake tuu. Utaua wangapi kama ndio tabia ya mke wako?
Back
Top Bottom