Recent content by Alfu Lela Ulela

  1. A

    Chadema yaigaragaza CCM Jordan University College.

    Vema. Tupe statistics za matokeo. Kamshinda kwa asilimia ngapi?
  2. A

    Msaada: Mwenye namba ya simu ya mh. Peter msigwa (mb-iringa)

    Hakusema mhuni tu, bt "MHUNI WA KAWAIDA"
  3. A

    Waziri Sitta ahitimisha hotuba ya makadirio ya Wizara yake, awashambulia CHADEMA!

    Nimemdharau sana huyu mtu leo. Sikujua kama ni Opportunist kiasi hiki.
  4. A

    Waziri Sitta ahitimisha hotuba ya makadirio ya Wizara yake, awashambulia CHADEMA!

    Labda kama unamaanisha "hakuna mwanasiasa wa CCM asiye mnafiki"
  5. A

    Waziri Sitta ahitimisha hotuba ya makadirio ya Wizara yake, awashambulia CHADEMA!

    Yule wa Mbeya Vijijini nae si "mpakwa mafuta??"
  6. A

    Waziri Sitta ahitimisha hotuba ya makadirio ya Wizara yake, awashambulia CHADEMA!

    "wengine wanajiita Reverend lakini ni wahuni tu wa kawaida" Ndivyo Sitta alivyohitimisha hoja yake kwa kumtukana mchungaji Msigwa.
  7. A

  8. A

    Waziri Sitta ahitimisha hotuba ya makadirio ya Wizara yake, awashambulia CHADEMA!

    Tizama TBC ujionee mwenyewe uone alivyoacha hoja na kuanza kuishambulia CHADEMA.
  9. A

    Uchafu wa Waziri Ghasia na dharau zake kwa Ofisi ya Waziri Mkuu kwa kifua cha JK

    Lakini Dr.Slaa nae ametajwa kwenye kashfa hii mkuu.
  10. A

    Updates: Yanayojiri Mtwara - hali bado tete (Mei 23/24, 2013)

    Kituo cha televisheni cha ITV kimerusha habari usiku wa jana kuhusu vurugu zilizojitokeza kwa takribani siku mbili huko Mtwara. Taarifa hiyo imelitaja waziwazi jeshi la Polisi kuhusika na uchomaji wa nyumba za raia na kufanya uharibifu wa mali katika kile kile kilichoelezwa kusaka wahalifu...
  11. A

    Updates: Yanayojiri Mtwara - hali bado tete (Mei 23/24, 2013)

    Kituo cha televisheni cha ITV kimerusha habari usiku huu kuhusu vurugu zilizojitokeza kwa takribani siku mbili huko Mtwara. Taarifa hiyo imelitaja waziwazi jeshi la Polisi kuhusika na uchomaji wa nyumba za raia na kufanya uharibifu wa mali katika kile kile kilichoelezwa kusaka wahalifu...
  12. A

    RC Mtwara: Hali ya Mtwara ni shwari kabisa!

    Bora umuelimishe mkuu, maana inaonekana hajielewi.
Back
Top Bottom