Recent content by alfredjembe

  1. alfredjembe

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nikishapiga kimoja jogoo analala

    Punguzaa kula chips na mayai yasiokuwa na baba, hayo ndio yanapunguzaa nguvu mkuu
  2. alfredjembe

    JamiiForums Tanzania Walimu tutaendelea kudharaulika kutokana na Rais tuliyenae

    Duuuuh Alan umefungukaa
  3. alfredjembe

    JamiiForums Tanzania Kodi ya Asilimia 10: Kwa kila Tshs 1,000 ya kwenye Miamala, tshs 280 ni za TRA kuanzia Julai mosi

    Wachumi kila TV station wanasifiaa sasa sielewi wanawaza nn?
  4. alfredjembe

    JamiiForums Tanzania Kodi ya Asilimia 10: Kwa kila Tshs 1,000 ya kwenye Miamala, tshs 280 ni za TRA kuanzia Julai mosi

    UFAFANUZI! Watu wengi wamestuka sana kusikia kuwa kuanzia tarehe 01 Julai 2016, kila utakapotoa fedha kwenye ATM au huduma za fedha kwa mitandao ya simu, TRA itachukua asilimia 10 ya pesa hizo. Ukweli ni kuwa kodi hiyo ya 10% kwenye muamala wa simu au kutoa pesa kwenye ATM itakatwa kwenye...
  5. alfredjembe

  6. alfredjembe

  7. alfredjembe

    JamiiForums Tanzania Rais wetu Dkt Magufuli ni mkombozi wa wanyonge, shujaa mpya katika bara la Afrika

    Sukari inamwalibia
  8. alfredjembe

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli mtu akijifungua kwa operation uzao wa kwanza hawezi tena kujifungua kawaida?

    Wenginee wanapenda upasuaji tena wanamwambia Dr awafanyiee kisa wanaogopa sehemu zao zitatanuka zaidi ,upasuaji mwingi sasa wanaomba wenyewee.kama hauamini Fanya utafiti Mdogo eneo unaloishii
  9. alfredjembe

    JamiiForums Tanzania Voda watoa 4G LTE

    Daaa wa kijijini tutaishia kusikia kwenye redio hio 4G sasa
  10. alfredjembe

    JamiiForums Tanzania Voda watoa 4G LTE

    Kwa mfano hupo kijijini mitandao unasoma E unatumia cm yenyeuwezo wa 4G na unaline ya 4G Je unaweza kupata speed kubwa ya hio 4G?MSAADA tafadhari
  11. alfredjembe

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ajira za walimu 2016

    Poleni sana wanaa hata ss mwakajana tulikuwa na wakatisha tamaa na watia moyoo ,chamsingi pokea kila taarifa Bali usiamini kila taarifa mbaka uisibitishee kwenye vyombo vya habari kana TV na redio
  12. alfredjembe

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza juu ya mifuko ya ifadhi ya kijamii

    Hapa Tanzania kunamifuko mingi ya ifadhi ya jamii, Je ni hupi mfuko mzuri ambao hauna usumbufu kwenye malipo?na unagharama ndogo kwenye makato?
  13. alfredjembe

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata account ya bank kwa walimu tarajali 2015-2016

    ,kama unayo account ya boom(zamani) siunawapa au unafungua mpya?
Back
Top Bottom