Recent content by ALFA OMEGA

  1. A

    Mbeya Mjini: Joseph Mbilinyi CHADEMA, ananguvu kuliko Sambwee Shitambala wa CCM

    Kutokana na nguvu kubwa anayoonyesha Mbeya Mjini na kuwa gumzo kwa wakazi wa Jiji hilo Joseph Mbilinyi - Sugu ameonyesha ni kama anapita bila kupingwa kutokana na kumsambaratisha mpinzani wake kupitia CCM Sambwee Shitambala, ambapo mpinzani wake huyo alitaka kutumia ukabila. Hali hiyo...
  2. A

    Joseph Mbilinyi "Sugu" kupata "Home coming" ya kifalme Mbeya

    "Hasau" .... ndio maana anasomesha wanafunzi wapatao 270 Mbeya kupitia Taasisi yake ya Mbeya Education Trust Fund na ndio maana ameanzisha madarasa ya computer kwenye sekondari za Kata...sio kosa lako ni Elimu mbovu uliyopewa na Magamba ambao leo tena ujitambua....si umelishwa maharage ya wapi
  3. A

    Wanawake wa Mbeya msimsogelee wala kumpigia kura Sugu

    Watu wengine wanatafuta... kick wampate sugu, si mumfuate sio kumuandika huku kwenye mitandao...unamtetea mvaa uchi mwenzako acheni.
  4. A

    Sugu ashinda kesi dhidi ya Faiza kuhusu malezi ya mtoto, Faiza aomba nafasi ya kujirekebisha

    Hapa mnajaribu kutetea uozo...sugu angekuwa hatoi hela kwa huyu mtoto asingekuwa hata ana ubavu wakwenda kumchukua kwa mama yake (haswa kwa jinsi anavyoonyesha uwehu)...mara kwa mara sugu awapo dar huwa anashinda na mtoto wake, na kwa taarifa yenu tunayajua yote, sugu kila mwezi anatoa hela za...
  5. A

    Sugu ashinda kesi dhidi ya Faiza kuhusu malezi ya mtoto, Faiza aomba nafasi ya kujirekebisha

    yeyote anayepinga hili alete picha ya mama yake akiwa kavaa hivi...acheni ujinga nyie, watu wazima mnafikiria kwa kutumia masaburi...
  6. A

    Sugu ashinda kesi dhidi ya Faiza kuhusu malezi ya mtoto, Faiza aomba nafasi ya kujirekebisha

    Nilishawahi kusikia Mbunge mmoja anasema atatafuta consultant wa kupima akili za Watanzania....naamini juzi tu baada ya Kili Music hata hao mabinti wenzake walikuwa wanamponda binti kishenzi, lakini leo mnataka mgeuke tena wehu wakubwa...
  7. A

    Sugu ashinda kesi dhidi ya Faiza kuhusu malezi ya mtoto, Faiza aomba nafasi ya kujirekebisha

    Ni hivi ongeeeeeeeni mkichoka mtuulize tunaompigia kura Mbeya, Sugu ndiye mwakilishi wetu ambaye mpaka sasa Mbeya tunatembea kifua mbele kwa rekodi yake ya ufanyaji kazi uliotukuka na kwa hili tunamuunga mkono kama kuna nishani inapaswa tufikirie kumpa sababu amefanya muendelezo wa kile huwa...
  8. A

    Sugu: Mradi wa maji wa billioni 70 Mbeya una ka-escrow kadogo

    · ULIZINDULIWA NA RAIS MWAKA 2012 TATIZO LIKO PALEPALE · KUNA TUHUMA BAADHI YA SEHEMU KUNA MABOMBA HEWA Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi amemtaka Waziri wa Maji kufanya uchunguzi dhidi ya mradi wa maji wa bilioni 70 uliofadhiliwa na Umoja wa Ulaya katika jiji la Mbeya...
  9. A

    Magufuli amfutia leseni mkandarasi, mkurugenzi Kabwe kushitakiwa

    Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Osmund Mbilinyi leo ameibua kizaazaa bungeni baada ya kuuliza swali kuhusiana na ujenzi wa soko maarufu la Mwanjelwa lililoko katika jiji la Mbeya ambao haujakamilika tangu mwaka 2010 licha ya fedha nyingi zaidi ya shilingi billioni 20 ambazo zimetumika mpaka sasa...
  10. A

    Joseph Mbilinyi(Sugu) afichua madudu ya TAZARA Mbeya

    · WAFANYAKAZI WAFUKUZWA KAZI OVYO · AITAKA SERIKALI KUWARUDISHA KAZINI MARA MOJA Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi "Sugu" amefichua madudu ambayo wanafanyiwa Wafanyakazi wa TAZARA Mbeya ikiwemo kufukuzwa kazi ovyo. Akiongea bungeni Mbunge huyo alisema ni aibu kwa serikali...
  11. A

    Sugu aelezea sakata la ndege ya Rais wa China

    huu ndio uzi kamili pamoja na kichwa cha habari ajabu kichwa cha habari kimewekwa na story ya kutunga jf punguzeni kuchakachua....
  12. A

    Sugu aelezea sakata la ndege ya Rais wa China

    · UCHUNGUZI WA KIMATAIFA UFANYIKE YAWEZEKANA RAIS WA CHINA HAJUI · MTASIKIA WATU WAMENYONGWA CHINA SABABU SISI HATUCHUKUI HATUA Mh. Joseph Mbilinyi "Sugu" ameitaka serikali kuchunguza kuhusu tuhuma zilizotolewa na Televisheni ya Al-Jazeera kuhusu sakata linalohusu tuhuma...
  13. A

    Godbless Lema na Sugu waingia Mafichoni!

    Mungu kasaidia kipindi ambacho Matapeli wako Bungeni Sugu kajikita kwenye nchi yake kafanya mambo ambayo magamba sahauni kuhusu Sugu...
  14. A

    Viettel Wamekuita kwenye Interview?

    Kwa wakazi wa Mbeya leo ndio interview na ujumbe waliotumiwa uko hivi, angalia lugha iliyotumika:....... Viettel Tanzania Company notify. 13:00Pm-Tomorow(04-october-2014), You come my office to recruitment exam. Add office: veta street, plot no 146, block D, ilomba area - mbeya...
  15. A

    Mbunge Joseph Mbilinyi "sugu" amaliza mgomo mkubwa wa malori Mbeya

    Mbunge Joseph Mbilinyi "Sugu" leo amemaliza mgomo mkubwa wa malori maeneo ya Uyole njia panda, ambapo madereva walifunga barabara kulalamikia manyanyaso mengi wanayopata. Mgomo huo ulisababisha adha katika jiji la Mbeya na pia hapo ndio njia panda ya kwenda Nchi za Zambia na Malawi.
Back
Top Bottom