Recent content by ALF

  1. ALF

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Water Pump Used

    Ndugu inchi 3 mbona kubwa sana?? Unaenda kujaza majaruba?. Mimi kama ni Ushauri wangu kwa ukubwa huo tafuta ya diesel na Huwezi kupata kwa bei hiyo. Vinginevyo tumia hizi za inchi moja nanusu za petrol na vizuri ukanunua mpya, kama used ime kutoka nje sio hapa bongo. Kama ni bongo labda muuzaji...
  2. ALF

    JamiiForums Tanzania Nahitaji water pump ya mkopo

    Hongera sana kwa wazo lako jema, mimi ngekushauri uonane na Watu wa kampuni za soral wao wanatoa pump za mkopo kwa kianzio kidogo kulingana na aina na uwezo wa Pump na baada ya hapo utaanza kulipia kidogo kidogo kwa muda wa mwaka 1, pump ya nishati yajua itakufaa sana sababu itakuondolea...
  3. ALF

    JamiiForums Tanzania MO na Halima Mdee, patachimbika Jimbo la Kawe!

    Ndiomaana huwa tunaambiwa hatuna vitu vyakufanya kwenye mtandao kwani Chadema na CCM wameishawapitisha wagombea wao????
  4. ALF

    JamiiForums Tanzania Natafuta mbegu bora ya ng'ombe wa maziwa na Nguruwe Njombe mjini

    Mbegu bora ya nguruwe mtafute huyu jamaa +255789412904 au 0754393838 anaitwa Paul (Malafyalepigfarm) unaweza kutembelea Facebook au Instagram.
  5. ALF

    JamiiForums Tanzania Kwa kampuni ya MEIS kusakwa na Takukuru ni suala la muda Benard Membe atanasika!

    Mimi kwa uwezo wangu mdogo wakufikiri tangu nisikie taharifa ya kusakwa wamiliki wa hiyo Kampuni, najiuliza pesa tu naambiwa ilikopeshwa serikali kutoka Libya ilikuaje Kampuni yawatu binasfi wakopeshwe???. Hiyo pesa ilitoka kwa vigezo gani kutoka serikali kwenda kwa watu binasfi wakati nipesa...
  6. ALF

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayefahamu mbegu bora ya zao la alizeti

    Habari za muda huu wanakundi hili. Tukiwa tunaelekea kuanza msimu wa kilimo kwa mwka 2018/2019. Tunapenda kuwafahamisha wakulima wetu kuwa Kampuni ya Bytrade Tanzania Limited inayo furaha kuwatangazia Wakulima wote wa alizeti nchini kuwa kwa mara ya nyingine Tanzania, tunaendelea kuwaletea...
  7. ALF

    JamiiForums Tanzania Kipindi gani cha kulima mihogo ?

    Ndugu soko ni lakutafuta, muhufo ukiwa sio mvivu ukakomaa utapata pesa, lakini kama utategemea soko la kutafutiwa nimoja yazao wanalolalia bei, pia kanuni nikwamba lazima kupata soko kwanza ndio uingie kulima. Kikubwa nikucheza na timing tu. Pia kuongeza mnyororo wa thamani kama unaamua liwe zao...
  8. ALF

    JamiiForums Tanzania Jibu hili la Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa Mbunge Saed Kubenea wa Ubungo ni sahihi?

    Jibu sio sahihi, alitakiwa kujibu lini mswada utaletwa bungeni, pale hakuulizwa mwenendo wakesi Wa swala hilo, Ili kuingilia tungepaswa kujua swala lenyenyewe na namba yakesi hiyo maana mahakamani kuna kesi nyingi. Nahilo ilekuwa kama kichaka kuwazuia watu juu ya jambo fulani unasema lipo...
  9. ALF

    JamiiForums Tanzania Lusinde: Lowassa ujana Kala CCM leo hana nguvu anashikiliwa atembee ndo anajiita Kamanda

    Kwani Chadema nijeshi au chama cha siasa? Kama nichama chasiasa ukamanda nijina tu sio cheo. Alafu lazima tutoke kwenye siasa zisizo na faida kwa wapiga kura, leo kusema Lowasa ujana kalia CCM uzee anaendakuumalizia chadema yeye sio kamanda, yafaida gani kwa mpiga kura? Yanamshawishi vipi mtu...
  10. ALF

    JamiiForums Tanzania DAR: Diwani kata ya Kimara(CHADEMA), Paschal Manota ajiuzulu Udiwani na kuvua uanachama; akabidhiwa kadi ya CCM

    Hiyo sababu ya namba 7 ndio yakwanza huko kwingine kuzunguka tu. Meya wa ubungo alipoulizwa juu ya wanachama wanaoondoka alisema waache waondoke maana kwetu nikama takataka tu, akiwa na maana wanaoondoka sasa huyu ndugu yangu yeye alikuwa hajaama alivyoamaa ndio amekubali kuwa takataka...
  11. ALF

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu Kilimo cha Strawberries

    Nipatie namba yako nikuonganishe na jamaa yangu analima sana hizo.
  12. ALF

    JamiiForums Tanzania Mgombea wa Chadema Kinondoni Salim Mwalim si mpiga kura Jimbo la Kinondoni

    Kuna mtu alikuuliza kama mpiga kura wawapi?????. Je lipi lililobora, kumchagua mtu asiojiandikisha kwenye jimbo, au kumchagua mtu mliomuamini mkamchagua akawasaliti kwa kuiacha kazi, baada yamuda akarudi kuiomba kazi hiyohiyo?. Tusiwe naharaka kuna muda wapingamizi anaweza kuwekewa kama...
  13. ALF

    JamiiForums Tanzania Lazaro Nyalandu Amepotea? Alitegemea nini kuwa mpinzani?

    Kwani kwenye maelezo yake wakati anatoka CCM nakuomba kujiunga na Chadema aliomba awe na mgombea ubunge? Yeye aliomba uanachama hakusema anajiunga na Chadema nafikiri umeona tofauti, kwamaana hiyo Chadema wangeweza kumkataa bado asingekuwa mgombea pia. Jambo lapili kuwa mwanasiasi mzuri sio...
  14. ALF

    JamiiForums Tanzania Gharama kubwa za Bima: NHIF yatoa ufafanuzi. Ni baada ya wadau kulalamika...

    Kwa watu wenye vikundi @ 76,800/= kwa mwaka kwa mwanakikundi mmoja.
Back
Top Bottom