fdizzle
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,902
- 2,405
Wakuu habari zenu?
Nimeanza kilimo cha mboga mboga na Nashukuru Mungu mpaka sasa naendelea vizuri na kilimo.
Changamoto kuu niliyo nayo ni Water pump. Nilikuwa naomba Kama kuna mdau anaweza kunikopesha water pump anisaidie kwa hilo nitakuja kumlipa pesa yake yote.
Kilimo kina changamoto sana ila hii Water pump ndio inanirudisha nyuma