MO na Halima Mdee, patachimbika Jimbo la Kawe!

Hivi kuna msukuma huko India au Oman kwenye serikali zao?
 
Mkuu,hiyo nimekupa ya ndani kabisa!

Ilikuwa Makonda akapambane naye lakini imeonekana Boniphace kule Ubungo lazima awepo mtu jembe wa kupambana naye ndiposa CCM kimeonelea Makonda abaki Ubungo kummaliza Bon na Mo akammalize Halima.

Mo anapelekwa pale kwa ajili ya jambo moja tu kummaliza Halima.

mmemteka na kumkamua pesa, leo ndo mnamshawishi agombee kupitia chama kilekile kilicho mteka,
atakuwa mpuuzi kupindukia akiwasikiliza watesi wake na ilitumpekura itabidi atuambie nani alimteka, kwasababu gani na nini walicho mfanyia huko alipokuwepo, akijibu haya ndo tutaenda kwenye sera
 
Kuna kila dalili mfanyabiashara mkubwa na kada wa CCM ndugu Mohammed Dewji almaarufu 'Mo' atagombea Jimbo la Kawe katika uchaguzi ujao wa 2020.
Inasemekana CCM inamshawishi MO ili akubali kuwa mshindani wa Halima Mdee kwenye Jimbo hilo mwakani.
Mytake;Ufalme wa Halima unaenda kukoma rasmi kwa mwamba huo wa CCM endapo tu utakubali kugombea Jimbo la Kawe.

Ndiomaana huwa tunaambiwa hatuna vitu vyakufanya kwenye mtandao kwani Chadema na CCM wameishawapitisha wagombea wao????
 
Kama mtamleta MO Kawe, Halima Mdee asubiri kuapishwa tu. Hivi mnafikiri MO atafanya nini jimbo la Kawe? Ahahaha!!
 
Kuna kila dalili mfanyabiashara mkubwa na kada wa CCM ndugu Mohammed Dewji almaarufu 'Mo' atagombea Jimbo la Kawe katika uchaguzi ujao wa 2020.

Inasemekana CCM inamshawishi MO ili akubali kuwa mshindani wa Halima Mdee kwenye Jimbo hilo mwakani.

Mytake;Ufalme wa Halima unaenda kukoma rasmi kwa mwamba huo wa CCM endapo tu utakubali kugombea Jimbo la Kawe.
Itakuwa a tactical mistake for CCM.Wakati wananchi tunataka chama kiji-identify more with workers and farmers,tena kiwakumbatie mabepari!Litakuwa kosa kubwa na naamini CCM haitakuwa tayari kufanya kosa hilo.
 
Peleka ujinga wako huko! Kuwa tajiri ndio kuna mfanya MTU awe mbunge au mwanasiasa mahiri?
MO alifanya nini Singida? Manji kafanya nini Mbagala? Unadhani wakazi wa Kawe ni wa kupanga foleni kugawiwa kilo ya sukari kama wale was Singida ambao Leo wanasema MO kapoteza muda wao bure!
Miccm sijui kwa nini ni mijinga namna hii, kuwepo kwako JF siku nyingi tulitegemea unaweza kuwa kama MTU mwenye shahada aliyeisoma online lakini kumbe bure tuu, hujifunzi kitu
Sasa na wewe unaumiza kichwa kiss nini? Umeshasema huyo ni CCM unataka aseme Nini Cha mashiko? Musiba alisema Kinana alichangia tembo kupungua muulize analijua hilo? Muulize pia anajua Nini kuhusu kagoda,Meremeta,escrow? Just to mention a few
 
Kuna kila dalili mfanyabiashara mkubwa na kada wa CCM ndugu Mohammed Dewji almaarufu 'Mo' atagombea Jimbo la Kawe katika uchaguzi ujao wa 2020.

Inasemekana CCM inamshawishi MO ili akubali kuwa mshindani wa Halima Mdee kwenye Jimbo hilo mwakani.

Mytake;Ufalme wa Halima unaenda kukoma rasmi kwa mwamba huo wa CCM endapo tu utakubali kugombea Jimbo la Kawe.
Kule Singida kilimshinda nini akabwaga manyanga?
 
Kwa kusema ukweli bila kumung`unya maneno Halima mdee kupita uchaguzi ujao jimbo la kawe itakuwa ni muujiza wa karne,jimbo halina jipya,barabara zilikuwa hazipitiki mpaka walipokuja makonda na Meya Sita wakaahidi ndipo baada ya miezi michache barabara zikaanza kutengenezwa.Simlaumu Halima Mdee haya ni matokeo ya Siasa za Tanzania ukiwa mbunge wa jimbo halafu unatoka upinzani sahau kupata maendeleo jimboni kwako.
Kweli una akili za kuku wa KISASA. Kwa hiyo Halima Mdee alipewa hela za ujenzi wa hizo barabara akazila au hao wakina Sitta hela wametoa mfukoni mwao?
 
Ww kama nani? Firauni mmoja
mmemteka na kumkamua pesa, leo ndo mnamshawishi agombee kupitia chama kilekile kilicho mteka,
atakuwa mpuuzi kupindukia akiwasikiliza watesi wake na ilitumpekura itabidi atuambie nani alimteka, kwasababu gani na nini walicho mfanyia huko alipokuwepo, akijibu haya ndo tutaenda kwenye sera
 
Mkuu,hiyo nimekupa ya ndani kabisa!

Ilikuwa Makonda akapambane naye lakini imeonekana Boniphace kule Ubungo lazima awepo mtu jembe wa kupambana naye ndiposa CCM kimeonelea Makonda abaki Ubungo kummaliza Bon na Mo akammalize Halima.

Mo anapelekwa pale kwa ajili ya jambo moja tu kummaliza Halima.
kweli CCM hawana ustawi wa jamii
 
Back
Top Bottom