Recent content by alexavitus

  1. A

    Mshangao! Nimetongozwa na mwanamke mtaani

    Kuwa na fikra za kizungu haimaanishi tutakuwa tumeuendea usasa, tukubali tamaduni zetu Mwanamke hatongozi ila anaweka urahisi wa yeye kutongozwa
  2. A

    Mtoto wa kiume miaka 9 akivuta pumzi ndani anasema mgongoni kunauma itakua shida ni nini?

    analala vibaya godoro lina shida au vip hata mimi huwa najisikia hivyo
  3. A

    Tuna mengi ya kujifunza Burkinafaso

    kuna maguta mkaa ya mawe yanayotegemewa na france kuzalisha umene
  4. A

    Kevin De Bruyne ni albino?

    De bruyen sio albino kaka ila ni weupe wa tofauti tu
  5. A

    Hayati Magufuli amenifundisha kuwa usipokuwa na msimamo hutafanikisha jambo la maana hapa duniani

    halikuwa wazo lake lakin amefanikisha yeye!! mbona kama huna point hivi?
  6. A

    Hayati Magufuli amenifundisha kuwa usipokuwa na msimamo hutafanikisha jambo la maana hapa duniani

    sasa fikiria lipo na bado watu wanataka umeme wa Ethiopia, vip kama lisingekuwepo?? Magu alisema hii nchi inachezewa sana
  7. A

    Magufuli ndio Rais ambaye hakuacha legacy yoyote

    Sasa anajali hayo uliyosema, hata tukisema tuyaishi? move on bro nyie ndo huwa mnaitwa ving'ang'a
  8. A

    Watu weusi Afrika Kusini waache kujifaragua. Bila wazungu hayo maendeleo na uchumi utabaki ndoto

    Ina faida gani sasa kama makaburu wanaendesha nchi na kujineemesha, au wasauzi waendelee kupata hiyo proud kwamba nchi yao ni tajiri?????
  9. A

    Nahisi mke wangu anachepukaa! Jamani naombeni ushauri

    Acha kumwonyesha unaumia, kiufupi kila mtu acheze mechi zake huku ukipangilia mali zako, kwa sababu hiyo ndoa haitorudi kuwa sawa tenaaa
  10. A

    Kilichotokea kwa Aziz Ki kimenifanya niamini kuwa asilimia kubwa ya wanawake wa kibongo wanatumia ndumba kwenye mahusiano

    Tofautisha kuwa mzuri na maarufu, huku mtaani kuna watoto wazuri tena bikra na bado hutoi hiyo 30M
  11. A

    Huyu Ndiye Ibrahim Traore Rais wa Burkina Faso

    Amekataa kulipa ada ya ukoloni
  12. A

    Kila unaloliona katika utawala wa Rais Samia ni matokeo ya utawala wa Rais Magufuli

    Mbona kuna siku alitoa speech kuwakataa machawa akasema vijana wa namna hiyo wana mchango mdogo kwa taifa hili???
Back
Top Bottom