KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 35,761
- 86,422
li artificial intelligence limekataa lakini sijui lilimzaa lenyewe..😂Tuseme ndiyo ni albino.
So what?
li artificial intelligence limekataa lakini sijui lilimzaa lenyewe..😂Tuseme ndiyo ni albino.
So what?
Wewe huna akili unalazimisha opinion yako iwe fact 😎Wazungu hawaweki wazi hali za ualbino
De Bruyne na Paul scole ni zeruzeru acha ubishi
Kuna mechi na madrid nusu fainal ya UEFA uwanja wa benabu alibadilika rangi km mara nne iv iyo mechi alikiwasha sio poaMwamba anapiga mawe,kuna match moja alipiga muwa kipa akapangua ,ukamkuta alipiga muwa mwingine wa mara mbili yake mpaka yule kipa mwenyewe alibaki anacheka tu.
de bruyne namba9 ?Sio albino.
Jamaa ni bonge la mtu,nilipomuona live nikajiuliza hivi Kibwana Shomari akutane na namba tisa mwili nyumba kama de bruyne anamkabaje!
Wanasemaga albino kiasili hawaoni vizuri kwenye mwanga wanaona vizuri gizani.Wazungu hawaweki wazi hali za ualbino
De Bruyne na Paul scole ni zeruzeru acha ubishi
Kwahiyo we unajua Namba 9 tu ndo anaruhusiwa kufunga golide bruyne namba9 ?
kwa hyo kila anayefunga goli ni namba 9Kwahiyo we unajua Namba 9 tu ndo anaruhusiwa kufunga goli
😂😂😂😂Sio kwa ubaya lakini Trump ni nguruwe pori
Hapana.Nimetoa mfano ikiwa kama namba tisa mwenye mwili mkubwa anaefanana na huyu mtu.de bruyne namba9 ?
De bruyen sio albino kaka ila ni weupe wa tofauti tuWazungu hawaweki wazi hali za ualbino
De Bruyne na Paul scole ni zeruzeru acha ubishi
Alikua anasindikiza wenzie tu hakuna mchezaji paleHaji manara anasema alichezea Yanga Kids
Jamaa anajua kupitilizaSio albino.
Jamaa ni bonge la mtu,nilipomuona live nikajiuliza hivi Kibwana Shomari akutane na namba tisa mwili nyumba kama de bruyne anamkabaje!