Recent content by Alexander The Great

  1. Alexander The Great

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Nusu ya Baiskeli za Mama zilizogawiwa kanda ya ziwa zimeharibika na hazifai tena

    Tafuta fundi mbw@ wewe utengeneze! Sio mnakaa kutujazia uzi humu JF zisizo na maana! Ukute hata babu yako hajawahi kumiliki baiskeli mpaka kufa kwake! Umepewa lifti na bado unataka upige honi!
  2. Alexander The Great

    JamiiForums Tanzania Video: Full interview kati ya Jenerali Ulimwengu (host) na aliyekuwa Balozi nchini Cuba Ndugu Humphrey Polepole kupitia Chanzo Online TV

    Polepole akizeeka atakuja kua mchawi/mwanga/mlozi. Kipindi cha Magufuli alikua mstari wa mbele kuunga mkono mgombea urais mmoja tu CCM, na maswala ya kutekwa watu, kuuliwa, kuvamiwa studio za clouds na mitutu ya bunduki, kina Mo Dewj, Roma na wengine wengi kutekwa na kuteswa, watu kubambikiziwa...
  3. Alexander The Great

    JamiiForums Tanzania Magaidi wa Hamas yaua raia 5 wa Gaza waliovamia ghala la misaada huko Gaza

    Watu kama nyinyi ndio mnaogongewa wake na mademu zenu! Haujielewi!
  4. Alexander The Great

    JamiiForums Tanzania Kama gaidi alisamehewa licha ya kukutwa na Prima Facie, mhaini pia anaweza kusamehewa. Tumuombee msamaha wa 'Kusameheana Kupo' au akomae nao mpaka?

    Mtuhumiwa pia ni mtu anaejua sana sheria (undisputed) na anajua fika madhara ya kuvunja sheria, ila aliamua kuvunja sheria kwa makusudi. Sidhani kama hoja zako zimekaa sawa.
  5. Alexander The Great

    JamiiForums Tanzania Njiwa kaingia nyumbani na wala haoneshi dalali ya machachari na wala hataki kuondoka

    Atakua yupo kwenye swaumu amekuja kufturu!😌
  6. Alexander The Great

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina Miaka 22 ila sijawahi Sex kabisa na Mwanamke yeyote na ninaogopa sana

    Tatizo unapiga nyeto sana! Kila siku tunakukataza, ila husikii!
  7. Alexander The Great

    JamiiForums Tanzania Je Pyramids zilikua na kazi gani ?

    Mi hata sikushiriki kujenga, nliyakuta tu wakati nimeenda kumlia mingo Malkia Cleoparta! 😌
  8. Alexander The Great

    JamiiForums Tanzania Je Pyramids zilikua na kazi gani ?

    Mi hata sikushiriki kujenga, nliyakuta tu wakati nimeenda kumlia mingo Malkia Cleoparta! 😌
  9. Alexander The Great

    JamiiForums Tanzania Je Pyramids zilikua na kazi gani ?

    Nikiwafikiri mafundi ujenzi waliojenga hio midude nakosa pozi kabisa! Wapewe mauwa yao!
  10. Alexander The Great

    JamiiForums Tanzania Nimetokea kulichukia sana neno 'Pan-Africanism'

    Kwema pacha, nlipotea kidogo.... Huyo dada atakua mgeni JF, hatukua nae kipindi cha sekeseke la Magufuli humu!
  11. Alexander The Great

    JamiiForums Tanzania Nimetokea kulichukia sana neno 'Pan-Africanism'

    Ukitaka kuijua Pan Africanism ni wanafiki kiwango cha 5G, subiri uchezee vikwazo kutoka kwa mabeberu. Hakuna atakae thubutu kufungua mdomo kukutetea.🤔 Hayati Mugabe ana habari yake.😌
  12. Alexander The Great

    JamiiForums Tanzania Uongozi mpya CHADEMA wavuruga pesa

    Kutoka kuwa Muimba mapambio Lumumba kulipwa buku mbili za MB, na sasa kuhamia Chadema! Dunia inaenda kwa kasi sana!🤔
  13. Alexander The Great

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kenya Babu Owino amtaka Rais Samia, kueleza sababu za kuzuiliwa na kuorodheshwa kwake kama mtu aliyepigwa marufuku kuingia nchini Tanzania

    Huyu boya anajisahaulisha kesi yake ya kumpiga na kumtishia mtu silaha club kweupe!
  14. Alexander The Great

    JamiiForums Tanzania Ukipata milioni unaila siku tatu, ikibaki elfu kumi unaishi nayo week. Hii kitaalam mnaiitaje?

    Hata simu ikikaribia kusha charge unaweka Power Saver!
  15. Alexander The Great

    JamiiForums Tanzania Sheikh asema kubinafsisha bandari ni haramu na haifai kabisa

    Huyu jamaa ametoa hoja moja tu, hoja yake kaielezea vizuri na ina mashiko kuliko hata kelele zinazopigwa na hoja zinazotolewa na maelfu ya jamaa wa Vyama Vyote Vya Upinzani/Raia/Maaskofu/Wasanii n.k
Back
Top Bottom