Mimi sio speculator ila Maamuzi wanafanya wao au ni mimi? Kuna watu niliwaambia kuhusu mwalimu commercial bank bei ilipo kua 2100 wakasema nawaonea wivu haya sasa wanalia huko.
Kuwekeza kwenye share na hati fungani it's risk lakini kuwekeza kwenye hisa ni risk zaidi na risk zipo katika aina hizi...
Systematic risk hizi ni aina za risk ambazo ni unavoidable( haziepukiki) maranyingine huitwa market risk, huathiri soko zima, mfano wa hizo risk ni inflation, vita n.k...
JE HAUNA TIN? , FUATA TARATIBU HIZI UPATE TIN BURE NA UWEZE KUTUMA WAZO BUNIFU TRA USHINDE HADI MILIONI 50.
1. Ingia kwenye tovuti ya TRA
2. kwenye kipengele cha huduma mtandao (e-service) bofya innovation portal
3. Unahitajika kuwa na TIN.
4. Huna TIN? Jisajili kupitia Taxpayer Portal kwa...
Kutangazwa kwa gawio la Vodacom litakuwa na effect chanya kwenye bei ya hisa (bei kupanda) kwa kipindi cha hisa kuuzwa pamoja na gawio 27 Julai - 17 Agosti na itashuka kipindi cha hisa kuuzwa bila gawio 18 July na kuendelea usishange bei yake itakapofika 1000+
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.