Recent content by Alessia Demachi

  1. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa upwiruu huu Shemeji sijui kama atapona

    Ili neno 'upwiru' sijui limekaaje.. Ni bayaaa
  2. A

    JamiiForums Tanzania Skincare routines

    Ebu jazia jazia...how to do it..sugar zipi
  3. A

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuweka akiba kwa wale tunaoanza maisha

    Name them plz..hayo matumiz ya ovyo
  4. A

    JamiiForums Tanzania Je unasikiliza redio kwa siku ngapi kwa wiki? Unasikiliza vipindi gani?

    Mda wowote nnapokua kwenye gar nasikiliza radio (clouds).
  5. A

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: House girl amshtaki bosi wake kwa kutomlipa mshahara kwa miaka Mitano

    Mmh...binti alikuwa mvumilivu sana kwakweli..bila shaka waliishi vizuri sana na mwajiri wake... Angalau mwajiri amekiri kudaiwa hajamkana...I hope haki ya mdai itapatikana...japo kwa kuchelewa sana.
  6. A

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanamuziki Tina Turner afariki dunia akiwa na miaka 83, alikuwa na Saratani ya Utumbo

    So sad...RIP Tina. 'What's Love Got to Do' haijawahi kunichosha....that energy!! The song always leaves me with goosebumps..
  7. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tamthilia ya Huba, Idris Sultan watoka patupu Tuzo za AMVCA 2023

    Kwakweli..Big up kwa MPALI
  8. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Slow jams - pini ipi ilikubamba

    Killing me softly - Fugees Baby i'm gonna miss u - Milli Vanilli Nikita - Elton John Take my breath away - Berlin Secret lovers - Atlantic Stars Take a message to Mary - Beverly Brothers Aint funny - JLo Busted - Isley Brothers Soul provider - Michael Bolton Sexual healing - Marvin These are my...
  9. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka kwenda Ustawi wa Jamii, baba wa watoto ananisumbua huduma

    Kwakweli kujibebea mimba pasipo makubaliano sio poa kabisaa....makubaliano yakiwepo na yakawa complemented na upendo beyond doubt ata kutokuelewana kukitokea mambo hayafiki mbali ivo bcoz whenever u see the kid u see love...unapambana.
  10. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka kwenda Ustawi wa Jamii, baba wa watoto ananisumbua huduma

    Mahusiano yamekua changamoto sana nowdays..very unpredictable. Ifike mahali mwanamke aliyepevuka kimwili na kiakili anapoamua kua na mtoto ajiridhishe kwamba ataweza kupambana na malezi ya mwanae with or without support ya baba mtoto...vinginevyo ni kujinyanyasa kisaikolojia mwisho wa siku mama...
  11. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kumuachia mkeo Tsh. 2000/= ya matumizi?

    Ni sahihi kama ndio uwezo wako.
  12. A

    JamiiForums Tanzania Dar es salaam kinara wa kupapasana mabampa

    Kanauzwa ef 15...japo inaweza kua ndogo zaid nadhan..
  13. A

    JamiiForums Tanzania Dar es salaam kinara wa kupapasana mabampa

    Hii ina-work kwa moderate scratches...ukichunika vizuri haitoi....
  14. A

    JamiiForums Tanzania Dar es salaam kinara wa kupapasana mabampa

    Scratch out?
  15. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini Wanawake mnapenda kutujaribu kwenye mahusiano?

    Sijaona watoto hapo na tayari mna househelp....mkiwa na watoto si itakua balaa...na mkeo inaonekana hata hana ratiba kali ya mwajiri., anakwama wapi?????
Back
Top Bottom