Recent content by Aldonia

  1. Aldonia

    JamiiForums Tanzania Pattern

    YOU CAN'T HAVE YOUR CAKE AND EAT IT TOO#
  2. Aldonia

    JamiiForums Tanzania Tukaona wageni wakiitawala miji ya wenyeji wao

    Tafakuri na.... Na ule mti ulivyokatwa shina, tukaona wazee waliokosa hekima. Tukaona wazazi waliokosa heshima, tukaona mafundi waloshindwa pima, madaktari walioshindwa kutibu watu kwa kukosa pesa na bima. Mahakimu waliopinga haki kwa kukosa takrima. Tukaona wajomba walioshindwa kutunza na...
  3. Aldonia

    JamiiForums Tanzania DEAR SON#

    Nope# Imagination tu..
  4. Aldonia

    JamiiForums Tanzania DEAR SON#

    Comment yako ina maana Kubwa sana Kwangu Kiongozi...
  5. Aldonia

    JamiiForums Tanzania DEAR SON#

    DEAR SON# Nilipanga uje mapema iLa mipango ya Mungu na.. Ni kweli nilitafuta kwa jasho na ulikuja kwa uchungu na.. Muda ni asset ila haidumu na inakuja kimafungu.. kama kuna kosa kubwa nilifanya ni kujaribu kubadili kila kitu kutafuta suluhu na watu ambao mikononi walishika virungu.. Ukaitwa...
  6. Aldonia

    JamiiForums Tanzania DEAR SON#

    DEAR SON# Nilipanga uje mapema iLa mipango ya Mungu na.. Ni kweli nilitafuta kwa jasho na ulikuja kwa uchungu na.. Muda ni asset ila haidumu na inakuja kimafungu.. kama kuna kosa kubwa nilifanya ni kujaribu kubadili kila kitu kutafuta suluhu na watu ambao mikononi walishika virungu.. Ukaitwa...
  7. Aldonia

    JamiiForums Tanzania Mnakumbuka Matangazo ya zamani ya Radio na ITV yalivyokuwa na mvuto!?

    Mimi naitwa jambo kubwa je wewe unaitwa nani.. Mm naitwa jambo katkat na wew jee.. Mm naitwa jambo ndogo.. Ifanye ngozi yako nyororo lain yeny afya kwa kutumia jambo losheni yenye vitamin... Jambo ni losheni yako kwa wakat wote na kwa familia yako.. Nunua sasaaa
  8. Aldonia

    JamiiForums Tanzania Watch "BEN SWAX ft KALA JEREMIAH KESHA (Official video)" on YouTube

    BEN SWAX ft KALA JEREMIAH KESHA (Official video):
  9. Aldonia

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wachungaji mliopo humu nisaidieni

    Stay alone... Eneo lililotulia... Ask ua heart honestly.. Km bdo unapenda extra, uulize km hauwezi kuishi bila extra, uulize km utakosa amani bila extra, uulize km utakosa ucngzi bila extra, uulize km extra ni kitu pekee kinachokupa faraja na amani ya dhati.. Hebu uulize km bila extra moyo wako...
  10. Aldonia

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkasa ulionikuta wikiendi hii

    U c
Back
Top Bottom