Recent content by Albert V Ngwale

  1. Albert V Ngwale

    JamiiForums Tanzania Jamii tuzungumze kuhusu baadhi ya wababa na matunzo kwa watoto

    Dada mimi ninaamini hakuna mwanaume anatelekeza watoto hivi hivi tu, baadhi(tena walio wengi) ya wanawake ambao wamezaa na wanaume nje ya mfumo rasmi wa ndoa huwa na kawaida ya kuwa na vi jenereta vingi(yani wanaume wengi) sasa hali hiyo huleta insecurities kwetu wanaume if utalea mtoto ambao ni...
  2. Albert V Ngwale

    JamiiForums Tanzania Vijana wanasema hadharani kabisa kwamba wananunua sex

    Mbona huu ni muandiko wa kike?
  3. Albert V Ngwale

    JamiiForums Tanzania Chata la Tai mwenye taji kwenye malori na Siri iliyojificha

    Hiyo ni logo ya kampuni ya kutengeneza magari SCANIA
  4. Albert V Ngwale

    JamiiForums Tanzania Passo ikiwa kwenye speed ya 80km/h inakuwa sawa na V8 ikiwa kwenye speed hiyo hiyo?

    140miles per hour sio sawa na 140kilometers per hour rudi shule upate kujitambua
  5. Albert V Ngwale

    JamiiForums Tanzania Passo ikiwa kwenye speed ya 80km/h inakuwa sawa na V8 ikiwa kwenye speed hiyo hiyo?

    Kati ya wewe na kengele nani alikuwa anakaa nje ya darasa?
  6. Albert V Ngwale

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania hatuweki open spaces za watu kupumzika katikati ya miji?

    Kwa dar zipo kadhaa kama pale nbc posta, mwembe yanga, magomeni garden. Arusha kuna st. Theresa, pale kwa mkuu wa mkoa ingawa ni madogo madogo hayo maeneo
  7. Albert V Ngwale

    JamiiForums Tanzania Dream League Soccer Special Thread

    Nipo leta code tucheze
  8. Albert V Ngwale

    JamiiForums Tanzania Dream League Soccer Special Thread

    Ukipiga mtu nyingi kocha wao anataka kupigana
  9. Albert V Ngwale

    JamiiForums Tanzania Kwenu watambuzi kibao hiki kipo wapi

    Kipo singida
  10. Albert V Ngwale

    JamiiForums Tanzania Agano Jeusi

    kwahiyo huandiki tena au?
  11. Albert V Ngwale

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wanaoogopa wake zao ni washamba na wanakera

    wewe ni mmoja wapo nini?
  12. Albert V Ngwale

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wanaoogopa wake zao ni washamba na wanakera

    uwe unanipigia mimi mkuu
Back
Top Bottom