Recent content by Albert Msando

 1. A

  Wakili Albert Msando,kulikuwa na haja kweli?

  Wakili Msomi Petro, Kwanza nashukuru kwa maswali yako na pia kuepusha Uzi huu na hayo mengine huko. 1. Taarifa ya jana haikuwa rufaa. Ni taarifa ya nia ya Zitto kukata Rufaa Baraza Kuu dhidi ya adhabu ya kuvuliwa nafasi zake za uongozi. Ni taarifa ya nia na sababu za nia hizo. Sababu kwa...
 2. A

  Albert Msando apotoka tena

  'Tuwe' principled sasa. Wote. Na hapa wote unajua namaanisha nani na nani. Ni hatua gani zichukuliwe na sisi ambao tunatakiwa kuwa principled? Nafasi yangu na yako katika hili hazitofautiani. Nini kifanyike, lini, wapi na nani?
 3. A

  Albert Msando apotoka tena

  Umaarufu unadhani utanisaidia nini Mkude? Sihitaji umaarufu hata kidogo. Mbona haukusema haya wakati nilipomtetea Mh. Mbowe; Mh. Ndesamburo; Mh. Nassari; Mh. Lema nk kwenye kesi zao? Kwa hiyo ghafla nakuwa kenge nikitetea Kanuni na Katiba ya chama kisa tu anayehusika ni Zitto? Naamini...
 4. A

  Albert Msando apotoka tena

  Tumeanzia hapo kiongozi. Nasubiri maelekezo
 5. A

  Albert Msando apotoka tena

  Tuhuma dhidi ya Zitto ni kutokana na Waraka wa Mwigamba ambao unasemekana ni Mkakati wa Ushindi wa Uchaguzi wa ndani ambao uliandaliwa kwa siri. Mkakati huo kutokana na maudhui yake unasemekana kukashifu viongozi, kutoa tuhuma za uongo, kujenga makundi, kuchonganisha wanachama na viongozi na...
 6. A

  Albert Msando apotoka tena

  Molemo, nitajie matusi yangu kwa Chama na Kamati Kuu. Nitaona aibu. Ulinzi wa nini nahitaji? Unawapa sifa CCM wasizostahili hata kidogo. Katika maisha yangu CCM wangekuwa wameongea na mimi au wamenitumia kwa hata jambo moja wangejisifu sana. Hilo halitakaa litokee na wanajua hivyo...
 7. A

  Albert Msando apotoka tena

  Ben, nakubaliana na hoja ya vichaka vitatu. Kwanza haujui kama huyo aliyesema hayo maneno sio mwanachadema brother. Sio kila anayekosoa sio mwenzetu. Pili, hoja yangu ni nyepesi sana. Ingeweza kujibiwa kwa NDIO au HAPANA. Kwamba, je Kanuni zimefuatwa au la. Badala yake hoja inahama na...
 8. A

  Mwanasheria wa Zitto atolea ufafanuzi makosa 11 ya Zitto na wenzake

  Nitajibu kwa ujumla kwa sababu majibu ya masuali yako ndio msingi wa utetezi uliowasilishwa. Kuandika ingredients za utetezi au kwa maana nyingine maelezo ya utetezi sio sawa. Hayo yote yatatolewa muda ukifika. Zitto aliomba kujiuzulu sio kwa kukiri makosa ila kwa sababu viongozi wenzake...
 9. A

  Albert Msando apotoka tena

  Vichaka vitatu!!
 10. A

  NEC yapata pigo kuzuiwa upendeleo wa kampuni ya vifaa vya uchaguzi

  NEC yapata pigo 11/12/2013 | Posted by Mwandishi Wetu | Kitaifatangulizi | 0 comments | 87 views TUME ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania (NEC), imepata pigo baada ya Mamlaka ya Rufaa za Zabuni za Umma (PPAA), kuizuia isitoe zabuni za kuandaa vifaa vya uchaguzi vya kielektroniki kwa kampuni za M/S...
 11. A

  NEC yapata pigo kuzuiwa upendeleo wa kampuni ya vifaa vya uchaguzi

  ".......Kwa mujibu wa taarifa za mtandao wa PPAA, uamuzi huo ulifikiwa mwezi uliopita ambapo NEC imeamriwa kurudia upya mchakato mzima wa kutoa zabuni, ikiwemo kutangaza katika vyombo mbalimbali vya habari kwa utaratibu unaokubalika. Mkakati wa NEC kutoa zabuni kwa kampuni hizo uliibuliwa na...
 12. A

  Albert Msando apotoka tena

  Ben: 1. Ni nini ambacho nimepotosha? 2. Ni kashfa gani nimetoa dhidi ya chama? 3. Ni uzushi gani nimefanya dhidi ya chama?
 13. A

  Albert Msando apotoka tena

  JF, Issue sio Msando Albert ni nani au kwa nini anatetea. Issue ni rahisi natetea nini na utetezi wangu uko based kwenye nini. 1. Utaratibu wa kumvua Zitto nyadhifa haukufuatwa. 2. Sababu zilizotolewa ni circumstantial. Hazijitoshelezi. Zote zinatokana na waraka wa Mwigamba. Kabla...
 14. A

  Albert Msando apotoka tena

  Mwaikenda, 1. Kutetea utawala wa Sheria na tafsiri sahihi ya Katiba yetu ni kubomoa chama? Ndio mimi ni Diwani lakini itakuwa ajabu sana kusema kwamba kumtetea Zitto lazima nijiuzulu kwanza. Mimi sio mjumbe wa Kamati Kuu, Baraza Kuu wala Mkutano Mkuu. Mgongano wa maslahi unatoka wapi? Naweza...
 15. A

  Upotoshaji wa Albert Msando wakili msomi katika taarifa yake kwa vyombo vya habari.

  ....hatua za dharura bila kuzingatia utaratibu wa (b), (c) hapo juu kama itaona maslahi ya Chama kwa ujumla yanaweza kuathiriwa.... Soma kwa bidii. Tena na urudie tena. Labda huoni ninachokiona mimi.
Top Bottom