Recent content by ALBERT Jm

  1. ALBERT Jm

    Tathimini Ya show Ya Diamond Dar na Iringa

    Ni ndogo sawa lkn angalia imeingia kwa siku ngapi , afu kaingz kwa njia halali
  2. ALBERT Jm

    Tathimini Ya show Ya Diamond Dar na Iringa

    Kipaji chako ndo utajiri wako, WCB hongera zao sio jambo rahis kuingia mamilion Kama hayo ndani ya siku mbili
  3. ALBERT Jm

    Watumishi wa umma wahitaji salary slip wakope kupeleka watoto shule

    Wewe sio kila kitu ni bure ko shulen wanagawa sare za shule, daftar,na je Kama mtoto yupo advance poket money serikal inagawa?? Na hela ya kupigia kopi vitabu wanakupa??? Tafsiri ya elimu bure isitulemaze akili
  4. ALBERT Jm

    Msaada: Vifaranga wangu wanaharisha kinyesi kilichochanganyika na damu

    Napataje hayo magroup? Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app
  5. ALBERT Jm

    Msaada: Ninataka kufuga nyoka, wapi nitaweza kununua au kupata nyoka

    Ahahahaaa ni kweli itakuwaje mtu kufuga nyoka kisa ndani kwake kuna panya au mende???
  6. ALBERT Jm

    Msaada: Vifaranga wangu wanaharisha kinyesi kilichochanganyika na damu

    Jaman nimekuwa nikifatilia sana post zenu kuhusu ufugaji wa kuku wa kienyeji , natamani sana na Mimi kuanza huo mradi lkn sijui ntajengaje banda yani linaniumiza kichwa sana naombeni mnisaidie wana JF , na kingne nataka kuanza na kuku tetea 20 na majogoo 3 hivi inaweza kunielewa gharimu...
  7. ALBERT Jm

    Msaada: Ninataka kufuga nyoka, wapi nitaweza kununua au kupata nyoka

    Pengne utakuwa panya mwenyewe na mende wakawa watoto wako we fuga tu nyoka.
Back
Top Bottom